econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Teh teh teh huu ndo utoto unaokwenda kummaliza Lissu!! Soon atakimbilia ubelgiji!
Usijisahaulishe Mbowe aliandamana pekee yake.
Teh teh teh huu ndo utoto unaokwenda kummaliza Lissu!! Soon atakimbilia ubelgiji!
Teh teh teh No reforms No election itawatia msumari 😂😂😂😂Lazima useme mimi ni kichaa maana hoja zangu zinakuumiza sana.
Tulieni tu. Watanzania wa sasa sio wapumbavu tena na wameshawajua nyie ndo chanzo cha umaskini wao.
Inahusianaje na mada? Leo Lissu unajiaminisha ana ubavu wa kuzuia uchaguzi?? Hahahahahahahaha!Usijisahaulishe Mbowe aliandamana pekee yake.
Makasiriko on fleek, pata glass ya maji kijana!Hahahaha!! Nilikwambia awali muda utaamua. Huu utoto tu unakusumbua lakini kinachokuja mbeleni Lissu atajuta kwa aliyofanya!! Siyo tu atakwama CHADEMA but atalipia ule ushenzi in a hard way... andika chini hiki kitu utakuja kupigia mstari. Hujui unaongea na mtu wa aina gani au una akili za kitoto zile za kuamini bahari inamilikiwa na baba yako.
Moto unakuja hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe!
Subiri utajionea...hiyo kamati kuu, baraza kuu ndo itakuja kumaliza huu mtanange na Lissu aachwe kwenye mataa!! Mna akili za kitoto sana ku deal na siasa za nchi hii!Acha hizo wewe. Kwa hivyo Lissu ndio Kamati kuu, Baraza Kuu na Mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu umeisha miezi miwili iliyopita, na ikapitisha maamuzi hayo wewe Leo unaleta stori za kwamba Lissu ndio alipendekeza. Muacheni Lissu afanye kazi.
😂😂😂😂😂Makasiriko on fleek, pata glass ya maji kijana!
Lissu ni kichaa!Kumbukeni Lissu alishinda by a very small margin, a mere 30+ votes. Mkijifanya mnatumia nguvu badala ya akili mnaangukia pua.
Wengine tulisema, pamoja na kwamba Mbowe was tired, Lissu wasn't the right choice, mihemko yake haimfanyi kuwa kiongozi bora, he's dismantling the party na mnawapa maccm nguvu mpya.
Hahahaha una hasira sana... in fact, I'm not a peasant! Sikutishi nakueleza tu uelewe maana wewe ni mtoto!! Lissu anaangukia pua na lile tumbo lake!Katishie mapeasant wenzio huko bush. Hela mlizohongwa na ccm mtazitolea kwenye hilo tundu la tope hapo uani. Mlitegemea Mbowe atafia kwenye hicho kiti, basi safari hii mmeukalia.
Kumbukeni Lissu alishinda by a very small margin, a mere 30+ votes. Mkijifanya mnatumia nguvu badala ya akili mnaangukia pua.
Wengine tulisema, pamoja na kwamba Mbowe was tired, Lissu wasn't the right choice, mihemko yake haimfanyi kuwa kiongozi bora, he's dismantling the party na mnawapa maccm nguvu mpya.
Lissu ni kichaa!
Kakwama wapi Lissu?Kila Mwenyekiti Lissu anapokwama mnamlaumu Mbowe! Ahahahahaha!!!
Usimfananishe mjinga mrema na mpakwa mafuta wa Mungu Tundu Antipas LissuTime will tell. Mrema aliambiwa haya haya, wapambe kama nyinyibwakampoteza.
Nimecheka vibaya, mwanzo ilikuwa hawezi kumshinda Mbowe, ila sasa ameshinda ndio mnakuja na story za ataanguka. Kama mlikuwa na uwezo huo aliwashindaje?Hahahaha una hasira sana... in fact, I'm not a peasant! Sikutishi nakueleza tu uelewe maana wewe ni mtoto!! Lissu anaangukia pua na lile tumbo lake!
Subiri utajionea...hiyo kamati kuu, baraza kuu ndo itakuja kumaliza huu mtanange na Lissu aachwe kwenye mataa!! Mna akili za kitoto sana ku deal na siasa za nchi hii!
Inahusianaje na mada? Leo Lissu unajiaminisha ana ubavu wa kuzuia uchaguzi?? Hahahahahahahaha!
Unadhani kuna mtu basi anataka asiongoze, ila skills za uongozi ndio hana.Kutoka kwenye kauli ya akishindwa asihame chama mpaka kwenye ameshinda kwa small margir ya kura 33. Kubalini Lissu kamstaafisha Mbowe kwa lazima. Cha msingi mwacheni aongoze chama.
Teh teh teh No reforms No election itawatia msumari 😂😂😂😂
Unadhani kuna mtu basi anataka asiongoze, ila skills za uongozi ndio hana.