PreGE2025 Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Alimpiga kwa margin gani? Hili mbona hamtaki lisema? Kwahyo kwa utomvu uliobeba kichwani ndo unaiona ni nguvu ya kuikabili TZ nzima akazuia uchaguzi? Huna tofauti na mtoto anayeamini baba yake ndo mmiliki wa ulimwengu hahahahahahaha!
Kupigwa ni kupigwa tu..Kama hajapigwa angekuwa Chairman sasahivi..
 
Unamuuliza nani sasa?ngoja hela itoke ndo utajua nani ni nani
 
Kupigwa ni kupigwa tu..Kama hajapigwa angekuwa Chairman sasahivi..
Jibu swali kampiga kwa margin gani? Ukielewa maana ya hili swali utakua genius vinginevyo nawewe ni mtoto Kama wanywa visungura wenzio humu shwaini!
 
Tunayaandika haya kwa nia jema. Bado kuna njia ya kunusuru chadema.
1. Kila askari ni muhimu chadema. Kupishana kimawazo, matokeo ya uchaguzi should be handled with LOVE and not enemity!
2. Lisu kazi yako kubwa iwe kuponya majeraha.
3. Short of that unajidanganya!
Ahache kazi nyingine za chama kisa kuponya majeraha ya watu walioapa kutokupona wewe ungeliweza hiyo kazi?.
 
Jibu swali kampiga kwa margin gani? Ukielewa maana ya hili swali utakua genius vinginevyo nawewe ni mtoto Kama wanywa visungura wenzio humu shwaini!
Wacha jazba Dada yangu!!Sasa taarabu za nini?Je Lissu amemshinda Mbowe au ameiba kura?
 
Wakuu

Je, Mbowe yupo nyuma ya yanayoendelea kati ya wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa 2020 na 2025 maarufu G55 wanaowakilisha zaidi ya watiania 200, wakiwemo viongozi wa juu wa chama hicho dhidi ya uongozi wa sasa chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ambaye anaongoza harakati za kuzia uchaguzi kama hakutafanyika mabadiliko (no reforms, no election).

Soma, Pia: Waraka wa wagombea 2020 na watia nia wa ubunge 55 wa CHADEMA

Tangu kukubali kushindwa uchaguzi wa ndani wa chama hicho na kusema anaenda kusaka Mafekeche, Mbowe aliamua kukaa kimya na kutoshiriki wazi wazi shughuli za chama hali ambayo inazua maswali mengi kwani wengi wanaoonyesha kwenda tofauti na harakati za chama chini ya Lissu ni wale waliokuwa timu Mbowe.

Mbowe ni mjumbe wakudumu wa Kamati Kuu ya chama lakini hayaonekani kwenye vikao kazi vya chama wala kuzunguka mikoani kueneza ajenda ya kutaka mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi.

Kama Mbowe angekuwa bega kwa bega na Lissu, haya yanayoendelea hivi sasa ya Lembrus Mchome, John Mrema na wengine Je, tungeyashuhudia?
Hao kasongo hatuwawazi kabisa hrkt zinaendelea no reforms no election
 
Na yule dada wa Nairobi na anawakoroga balaa!! Tuliona mbali sana uwezo wa kuongoza taasisi kubwa kama CHADEMA lissu hana na hakua tayari. Muda ni hakimu wa yote.
Lissu anawapa wakati mgumu sana nyie fisiemu na vibaraka wengine
 
Wakuu

Je, Mbowe yupo nyuma ya yanayoendelea kati ya wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa 2020 na 2025 maarufu G55 wanaowakilisha zaidi ya watiania 200, wakiwemo viongozi wa juu wa chama hicho dhidi ya uongozi wa sasa chini ya mwenyekiti wao Tundu Lissu ambaye anaongoza harakati za kuzia uchaguzi kama hakutafanyika mabadiliko (no reforms, no election).

Soma, Pia: Waraka wa wagombea 2020 na watia nia wa ubunge 55 wa CHADEMA

Tangu kukubali kushindwa uchaguzi wa ndani wa chama hicho na kusema anaenda kusaka Mafekeche, Mbowe aliamua kukaa kimya na kutoshiriki wazi wazi shughuli za chama hali ambayo inazua maswali mengi kwani wengi wanaoonyesha kwenda tofauti na harakati za chama chini ya Lissu ni wale waliokuwa timu Mbowe.

Mbowe ni mjumbe wakudumu wa Kamati Kuu ya chama lakini hayaonekani kwenye vikao kazi vya chama wala kuzunguka mikoani kueneza ajenda ya kutaka mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi.

Kama Mbowe angekuwa bega kwa bega na Lissu, haya yanayoendelea hivi sasa ya Lembrus Mchome, John Mrema na wengine Je, tungeyashuhudia?
Mlishamkataa Sasa aongee Nini Tena?
 
Dharau mlizomuonyesha halafu bado unataka awe bega kwa bega na akina Lissu kweli!? Hebu tumia basi kaubongo kako hakodogo vizuri.
 
Back
Top Bottom