sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Hakika msaada wako utaokoa maisha ya mama au mama na mtoto, iko hivi:
Huyu dada naweza sema ni ndugu au rafiki, alikua na uhusiano na kaka mmoja ila sio serious, baadae akapata jamaa mwengine aliekua serious ila uhusiano wa mwanzo ni kama ulikuepo chinichini.
Dada akapata mimba akamueleza jamaa alokua serious kua niyake na jamaa akalea tangu mimba hadi mtoto kuzaliwa hadi leo,
Tatizo ni kua kadri mtoto anavyokua inaonekana ni wa yule jamaa wa kwanza ambae hakua serious, kibaya zaidi hawa jamaa wawili wanamuonekano tofauti , ni watu wenye asili ya mataifa mawili tofauti hivyo tofauti za mtoto zinajidhihirisha wazi.
Mtaani na ndugu wa jamaa wanasema jamaa sio mtoto wake, ndugu wa mke wanataka dada aseme ukweli mana hali inajieleza.
Sasa dada amekua na mawazo mana jamaa alielea mtoto haongei kitu, je anapanga tukio au vipi? Dada akimbie tu na mtoto kuepusha shari ? Afadhali jamaa angekua anaongea unajua anachowaza lakini yeye yupo kimya na anaendelea kuhuduamia.
Dada anamuogopa hata kumuachia mtoto au kuwa wawili tu.
Mimi binafsi naafahamu kweli jamaa kabambikiwa, sasa nifanyeje kumuokoa huyu dada na mtoto?