Ukimya wa Philip Mpango na Mwigulu kwenye ishu ya DP World unashangaza

Sio hao tu, hata Majaliwa hakubaliani na ujinga uliofanyika. Ni vile tu yeye ndio kiongozi wa shughuli za serikali bungeni kwahiyo analazimika kulisemea.

SSH ameharibu tena sana tu. Mbarawa anaweza kupigwa kitanzi kwakua ni waziri lakini hata yeye sio kosa lake. SSH anao watu wake (wafanyabishara) anaowaamini wamekuwa wanamlisha matango pori kuhusu bandari kutokea mwanzo kabisa alivyoingia madarakani.

Hili la DPW limefanyika kihuni mno.
 
Punguza kisirani sasa!!!
 

Kumbe unajua kuuza bandari ni uchafu, kama mtu anajua ni uchafu kwanini akubali kujichafua!!

Hakuna mwenye akili anaweza unga mkono huo uchafuzi!!

Mama washauri wake ni wabaya na malengo yao ni mabaya juu yake!! Inabidi ajitafakari sana juu ya hao wanaomshauri hawana lengo zuri juu yake!! Haiwezekani watanzania zaidi ya asilimia 95% wanapiga kelele yeye akae kimya kuna shida mahali?
 

Hapo kuna mmoja ana stress za kuutaka urais na kuna mmoja bado hajiamini amini bado ana wasi wasi sana na maisha yake
 
samia kauza nchi,
samia anaongozwa na genge la mafisadi,
samia hana uwezo wa kuongoza!
samia amekua compromised,

alafu usisahau ana watoto wake wanne,
1. mbarawa
2. nape
3. mwigulu
4. january

hawa nao ni useless pia, ni vijana mafisadi wakubwa!......
 
Mbona kasema serikali itazingatia maoni ya wananchi na kawatoa wasiwasi...why not Mpango na Mwigulu??
Mbona huulizi maoni ya JK na Makamba??
Tatizo la Ustadhaat mvivu sana anaamini kwenye wasaidizi hajishughulishi kwenye kujiridhisha...nendeni mkalitazame, alisikika Sa100 akiwaambia wasaidizi wake kwenda kuupitia mkataba wa bandari kabla ya yeye kumwaga wino!
Haya sasa wamemuingiza chaka matokeo yake anaonekana wa hovyo.
 
huyu mwamba alikua ni mtu mchangiaji mzuri sana humu jf, kumbe sababu ilikua udini tu........

bado sijaona michango ya akina nguruvi , Mag3, Malcom lumumba na yule mwamba alikua anachambua sana masuala ya bandari ya bagamoyo..... sijawaona wakitoa neno kwenye hili la dpw
 
Mkataba wa hovyo zaidi uliowahi kuingiwa kwenye historia ya Tanganyika huru tangu iumbwe, mkataba uliokuja kuutweza utu wetu, kutunyan'ganya mamlaka ya nchi yetu, kutuondolea uhuru wetu, kugeuzwa watumwa ndani ya nchi yetu, unataka nani mwenye akili timamu asimame kuutetea huu ujinga?[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliowataja Wana Nguvu Gani Zaidi Hao Ni Mjumbe Ndiyo Kwa Lolote



Zabayanga Alitetemeka Alipoachiwa Nchi Akasema Wazi Shida Ingetokea Hajui Angefanya Nini
 
Waisiharamu ndiyo wanao kwamisha tz chunguza rekodi za viongozi waisiharamu utagundua upumbavu wa kulamba makario ya waarabu na wazungu
 
Hiyo takataka ya chooni lini imekuwa ni usafi ....kama anawapenda waarabu sana kwanini asiuze kijambio chake ....ila bandari yetu asithubutu kamwe
 
bado sijaona michango ya akina @nguruvi , @Mag3, @Malcom lumumba na yule mwamba alikua anachambua sana masuala ya bandari ya bagamoyo..... sijawaona wakitoa neno kwenye hili la dpw
Mzee Mag3 labda mnapishana naye tu yupo humu anapigania bandari zetu, Malcom kwasasa anatuamia jina la "The boy wonder" ameshamwaga bonge moja la shule la kuupinga huu mkataba
 
Mbona kasema serikali itazingatia maoni ya wananchi na kawatoa wasiwasi...why not Mpango na Mwigulu??
Kwani lazima Mpango na mwiguluu walisemee?? Au wakisemea wako ndo inakua nn? Wee mbna umekua tofauti na watu walivyokua wanakuchukulia, kumbee wee ni mweupee hiviiiii??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dunia simama nishuke, leo wee wa kulilia Mpango na mwigulu watoke hadharan kusemea mkataba wa kitapelii. Woiiiiih
 
Unataka waseme ukweli ili muwaite wasaliti? Nyie mumeshashibisha matumbo yenu kausheni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…