Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
The Boss Rais Kikwete, Januari makamba, Ridhiwani Kikwete, Mwanasheria Mkuu wa serikali wametoa neno lolote kuhusu Uwekezaji wa DP World na Tanzania?Hawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana?
Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"??
Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja??
Au hao ndo kuna mmoja wao "kaagizwa" ..akae mbali asichafuke na wale "wazee" wanaosimamia "project" ya "Chafua Samia..achafuke hadi asigombee 2025"...halafu ili apewe "kiti"..??
Thinking out loud.....