Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
The Boss Rais Kikwete, Januari makamba, Ridhiwani Kikwete, Mwanasheria Mkuu wa serikali wametoa neno lolote kuhusu Uwekezaji wa DP World na Tanzania?Hawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana?
Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"??
Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja??
Au hao ndo kuna mmoja wao "kaagizwa" ..akae mbali asichafuke na wale "wazee" wanaosimamia "project" ya "Chafua Samia..achafuke hadi asigombee 2025"...halafu ili apewe "kiti"..??
Thinking out loud.....
Huyo aliyekuwa akichambua sana bandari ya Bagamoyo atakuwa anapita kimya kimya.. ni kundi la kina Makamba..
Hakuna suala la sijui amekuwaje, jamaa anadhihirisha wazi kuwa ni boya asiyetumia uwezo wake wa kufikiri vizuri. Mtu smart hawezi hata siku moja kutetea ujinga kama huu.Yaan wee The Boss tangu suala LA DP world liwe wazi, sijui umekuajee, yaan sijui umekutwa na jambo gani.
Hadi huruma maskini wee, poleeeeeee sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana?
Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"??
Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja??
Au hao ndo kuna mmoja wao "kaagizwa" ..akae mbali asichafuke na wale "wazee" wanaosimamia "project" ya "Chafua Samia..achafuke hadi asigombee 2025"...halafu ili apewe "kiti"..??
Thinking out loud.....
Nikijibu kichwa cha mada, bila kusoma yaliyoandikwa ndani yake: Huu ni uchokonozi wa maksudi kabisa kwa hao viongozi.Hawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana?
Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"??
Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja??
Au hao ndo kuna mmoja wao "kaagizwa" ..akae mbali asichafuke na wale "wazee" wanaosimamia "project" ya "Chafua Samia..achafuke hadi asigombee 2025"...halafu ili apewe "kiti"..??
Thinking out loud.....
Duh!wamesema ukishasema wewe inatosha…
Ajabu sana, halafu kuna vipofu wanaotetea huu ushetani tuliofanyiwa na mkoloni toka Makunduchi, wanauficha kwa vivuli vya "interest" zao za kihuni, aibu kuu iwe juu yao.
Kutetea jambo usiloliamini, kama alivyokuwa akifanya Samia chini ya magufuli, ni unafiki.Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja??
Kwa kweli mama Samia kajiharibia mwenyewe na siasa huwa haina huruma, ataubeba mzigo wake mwenyewe.
kawa mieusho thana.thijui ni dugu naaa yure suruhuYaan wee The Boss tangu suala LA DP world liwe wazi, sijui umekuajee, yaan sijui umekutwa na jambo gani.
Hadi huruma maskini wee, poleeeeeee sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo unataka akusemee we umekuwa mke wao?Hawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana?
Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"??
Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja??
Au hao ndo kuna mmoja wao "kaagizwa" ..akae mbali asichafuke na wale "wazee" wanaosimamia "project" ya "Chafua Samia..achafuke hadi asigombee 2025"...halafu ili apewe "kiti"..??
Thinking out loud.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiii.Hakuna suala la sijui amekuwaje, jamaa anadhihirisha wazi kuwa ni boya asiyetumia uwezo wake wa kufikiri vizuri. Mtu smart hawezi hata siku moja kutetea ujinga kama huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua huenda.kawa mieusho thana.thijui ni dugu naaa yure suruhu
Tuliulizia hivi kwa majaliwa,akajitokeza akatia neno la baraka,so don't expect anything from them.
Tena kama huyo namba 2 ni tatizo kubwa sana.... Huwa natamani kama gharika itokee ipite nae angalau kusafisha mbegu mbovu...samia kauza nchi,
samia anaongozwa na genge la mafisadi,
samia hana uwezo wa kuongoza!
samia amekua compromised,
alafu usisahau ana watoto wake wanne,
1. mbarawa
2. nape
3. mwigulu
4. january
hawa nao ni useless pia, ni vijana mafisadi wakubwa!......
Kwa hiyo ndugu Mwekezaji umeona kuchukua bandari haitoshi umeamua kuja na kwenye mijadala huku? Nakujulisha tu JF haiuzwi🤣🤣The Boss! Wewe maoni yako ni nini ukiwaacha hao unaowataja! Hujui kuwa hata wewe kama mzalendo una haki ya kutoa maoni yako ! Mbona unajizalilisha hivyo mkuu!