Ukimya wa Philip Mpango na Mwigulu kwenye ishu ya DP World unashangaza

Wakitaka eneo la chuo kikuu Cha daresalam

Haipingwi ,wanatakiwa wapewe nayeye mwenyewe kapokonywa mamlaka ya kutaa jambo
 
Acha umbea mkuu. Serikalini kuna peotocol za kuzungumza. Mpango na mama wamewapuuza wapotoshaji na mwiguli wizara yake haihusiki na bandari.
 
Watu msio na hofu ya Mungu ndo mnaweza kusapoti huu uhuni. Mpango Kamwe hamtamuona akiunga mkono uharamia.
 
Mwigulu ndo chawa mkubwa wa mama
 

Wewe wasiwasi wako nini?

Kumbe unaelewa kuwa ni kazi chafu.

Mliochagua upande mnatosha, vipi tena utake uungwaji mkono zaidi.
 
Usisahau Mwigu anautaka urice kwa hiyo unatarajia atashauri vizuri
 
Kumbe wee jmaa Ni mjinga huwa Kia's hiki alfu mm nilikiwa nakuona wa maana kumbe ni kinyesi umejeza kichwani

Kumuhusisha deputy na ujinga wenu Ni upumbafu mno unataka atoke asemaje wale Wana akili zao za ndani
 
Yaan wee The Boss tangu suala LA DP world liwe wazi, sijui umekuajee, yaan sijui umekutwa na jambo gani.

Hadi huruma maskini wee, poleeeeeee sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemdharau Sana hapa dunian na mbinguni
 
Huyu mtu mda wake ukiisha anarudi kwao, and anakuwa ana immunity so hawajibiki na chcht alichokifanya kipindi akiwa kiongozi. Kwa hivo upuuzi wote unaofanyika ni zigo la mnyamwezi

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Samia anaishia 2025 Kwa namna yoyote Ile, Hatogombea !!.
 
Uko sahih Ni sahih kbsa diblo hakubaliani na hili swala kbsa ndio maana ananjichanganya tu kusema maoni ya wananchi yatazingatiwa

Diblo anatufha kwa urais
 
Uyo madili si ndo atauza hadi watoto wetu
 
Nimemdharau sna huyu jmaa labda abadili I'd pumbu ...fu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…