Ukimya wa Tanzania na JWTZ Kule Congo DRC si wa Kawaida – Kuna Kitu Kinachezwa?

Ukimya wa Tanzania na JWTZ Kule Congo DRC si wa Kawaida – Kuna Kitu Kinachezwa?

JWTZ ikachukue kandarasi Hilo ipige Pesa
Hizo ndizo Kazi zenyewe.

Ndani ya JWTZ kiundwe kikosi kingine cha kushughulikia mambo ya Nje ya mipaka ya Nchi.

Vijana waajiriwe wakapige Kazi. Hela iletwe nchini.
Hayo Mengine ya sifa za kijinga tuachane nayo
Uasi ni rahisi sana kufanyika kwa namna unavyotaka iwe.
 
JWTZ ikachukue kandarasi Hilo ipige Pesa
Hizo ndizo Kazi zenyewe.

Ndani ya JWTZ kiundwe kikosi kingine cha kushughulikia mambo ya Nje ya mipaka ya Nchi.

Vijana waajiriwe wakapige Kazi. Hela iletwe nchini.
Hayo Mengine ya sifa za kijinga tuachane nayo
Unawaza tu hela sio kwanini wewe usiende watu wanakufa au hamuonagi?
 
Hapa hakuna threat kwamba kutakuwa na machafuko yapi hayo..?

Wananchi wameridhika na maisha yao na wanapilika zao siasa wengi hawapendi kabisa.
Nyumba isio na ulinzi wizi huangalia udhaifu wake na kufanya tukio.
 
Kagame na jeshi lake la m23 wako vizuri kwenye medani na zana za kisasa za kivita kuliko nchi zote za maziwa makuu.

Habari za sijiu nduli Amini alishikishwa adabu hizo ni zilipendwa.
 
Kwani wanalazimishwa kwenda huko.

Hizo ni Kazi kama Kazi zingine mzee
Unajua taraibu za kijeshi jina lako likisha somwa kwenye oder no kupinga amri labda uwe na matatizo ambayo dr anayajua na una uthibitisho isitoshe mkuu. Ni fahari kwa mwanajeshi kufa akitetea nchi yake kulinda amani lakini sio kwa nchi ya mtu mwingine inakuwa mbaya sana ni nje ya kiapo mkuu inauma ila ni kutii sheria na amri tu
 
Si kweli magenerali wetu wanamsaidia mama kwa kribu sana tena sana kuliko wakati wowote na naamini ni wao ndio wametoa ushauri kuwa jeshi letu litulie kimya.
Ngoj ruendelee kusubiri kitachojiri.
Huwezi kushauriwa kila kitu, kuna baadhi ya maamuzi unafanya wewe kama kiongozi na walio chini wanakusikiliza hivyo ndivyo chain of command inafanya kazi.

Hata vitani unakuta jenerali anatoa orders na maamuzi ya kipekee na makini yanayoweza pelekea askari wakashinda hio vita.
Kuna faida kubwa kuwa na kiongozi mwenye uelewa mpana kuhusu geo-politics na migogoro mbali mbali inayowazunguka.
Maamuzi binafsi ni muhimu, ndio maana viongozi tofauti wanaweza ongoza nchi moja kwa nyakati tofauti, mmoja akachemka mwingine akaweza.
 
Unajua taraibu za kijeshi jina lako likisha somwa kwenye oder no kupinga amri labda uwe na matatizo ambayo dr anayajua na una uthibitisho isitoshe mkuu. Ni fahari kwa mwanajeshi kufa akitetea nchi yake kulinda amani lakini sio kwa nchi ya mtu mwingine inakuwa mbaya sana ni nje ya kiapo mkuu inauma ila ni kutii sheria na amri tu

Ndio maana nikasema viundwe Kikosi kwa ajili ya ishu hizo.
Sio kwamba kila Mwanajeshi awe kwenye hicho Kikosi Kazi.

Mataifa makubwa karibia yote Yana hiyo biashara na wapo vijana wanapelekwa Kazi hizo na wanapata Mpunga mrefu tuu
 
Oh sawa
 
Back
Top Bottom