Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mkuu ushawai kisikia kiapo cha kijeshi?Ni kweli lakini ndio Kazi zenyewe hizo
Muhimu isiwe lazima na watu wapewe malipo yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ushawai kisikia kiapo cha kijeshi?Ni kweli lakini ndio Kazi zenyewe hizo
Muhimu isiwe lazima na watu wapewe malipo yao
Mkuu ushawai kisikia kiapo cha kijeshi?
Kazi ya kuchukua kandarasa anaijua Kagame tu na RutoJWTZ ikachukue kandarasi Hilo ipige Pesa
Hizo ndizo Kazi zenyewe.
Ndani ya JWTZ kiundwe kikosi kingine cha kushughulikia mambo ya Nje ya mipaka ya Nchi.
Vijana waajiriwe wakapige Kazi. Hela iletwe nchini.
Hayo Mengine ya sifa za kijinga tuachane nayo
Wee nae lioga lioga km sio mwanaume?!!Unawaza tu hela sio kwanini wewe usiende watu wanakufa au hamuonagi?
CCM watalindwa na nani?
Wabaki hapahapa, wasiende kokote!
Suala la JWTZ kuwatandika M23 zilikuwa ni propaganda za CCM ambazo hazikuwa na uhalisia wowoteKwa anayefuatilia kinachoendelea DRC, hasa katika mkoa wa Goma, atakuwa anajiuliza: Liko wapi lile jeshi jasiri la JWTZ ambalo mwaka 2012-2013 liliwafurusha waasi wa M23 na kuwafanya wasambaratike kabisa?
Kwa mshangao mkubwa, baada ya uchaguzi wa DRC na kuingia madarakani kwa Félix Tshisekedi, waasi wale wale wa M23 wameibuka tena kwa nguvu mpya, wakiwa na uwezo wa kuteka Goma na sasa wakielekea Bukavu. Inaonekana lengo lao ni kuimega DRC, lakini kosa ni la nani?
- Je, ni Tshisekedi mwenyewe, ambaye kwa sera zake ameshindwa kuimarisha ulinzi wa nchi yake?
- Au ni MONUSCO, ambalo lilifuta vikosi vya kulinda amani kuwa chini ya Chapter 6 badala ya Chapter 7, hivyo kulifanya JWTZ na walinda amani wengine kuwa wasio na mamlaka ya kupambana na waasi moja kwa moja?
Kwa Nini Tanzania Inaonekana Inampiga Tshisekedi Darubini?
Ukiangalia historia, Tanzania imekuwa mshirika wa karibu wa marais wawili wa DRC:
- Laurent-Désiré Kabila, ambaye alikombolewa kwa msaada wa Tanzania.
- Joseph Kabila, ambaye pia alifaidika na uhusiano wa karibu kati ya Tanzania na DRC.
Lakini kwa Tshisekedi, hali inaonekana tofauti. Serikali ya Tanzania inaonekana kumsaidia kwa "machale machale"—yaani, si kwa nguvu kama ilivyokuwa kwa Kabila na Kabila. Kwa nini?
- Je, ni kwa sababu hakuwa sehemu ya mfumo wa ushawishi wa Tanzania?
- Au ni kwa sababu alipotwaa madaraka, alikimbilia kushirikiana zaidi na Kenya badala ya Tanzania?
- Au alidhani waasi wa M23 wangebakia kule kule Goma, bila kujua kuwa nguvu zao zinatoka Kigali na Kampala?
Tanzania inajua kinachoendelea. Watu wetu wa intelligentsia wamekusanya taarifa zote. Lakini inaonekana Tanzania imeamua kuwapotezea kwa sasa—kwa sababu nzuri tu.
Je, JWTZ Itaendelea Kukaushia au Itaingilia Kati?
Historia inaonesha kuwa Tanzania si nchi inayopenda kuona mataifa jirani yanameguka vipande vipande. Tuliwaunga mkono sana Wacongo bila masharti, tukiwapa muda wa kujijenga. Lakini wao wakaleta dharau.
Sasa swali kubwa ni: Tshisekedi atajinasua vipi?
- Atapiga magoti kwa Tanzania na kuomba msaada?
- Atazidi kung’ang’ania kwa Kenya na wengine, huku waasi wakiendelea kuikata DRC vipande vipande?
Muda utaamua. Lakini kwa sasa, JWTZ linaendelea na "hamsini zake", likiwa linajua vizuri kwanini halijarudi vitani kama ilivyofanya mwaka 2012-2013. Sababu tunayo, tena inajitosheleza!
Ahah hivi ushawai fika sehemu yenye vurugu ata siku moja ukaona kasheshe lake mkuu acha tu nisha shuudia mtu anakufa hivi niishie hapoWee nae lioga lioga km sio mwanaume?!!
Nyie ndo wale wezi wakivamia ndani mnajificha uvunguni..!!
Wapo pamoja na Malawi, Tanzaia na South Africa.Wapo tu km walinda amani yaani wao hawashabikii upande wowote.
Ushauri wa ovyo kutika kwa laymanJWTZ ikachukue kandarasi Hilo ipige Pesa
Hizo ndizo Kazi zenyewe.
Ndani ya JWTZ kiundwe kikosi kingine cha kushughulikia mambo ya Nje ya mipaka ya Nchi.
Vijana waajiriwe wakapige Kazi. Hela iletwe nchini.
Hayo Mengine ya sifa za kijinga tuachane nayo
Si ulisema ulikuwa jeshini wewe au ulikuwa unatupanga??Ahah hivi ushawai fika sehemu yenye vurugu ata siku moja ukaona kasheshe lake mkuu acha tu nisha shuudia mtu anakufa hivi niishie hapo
Tu
Sasa naanza kuelewa kwanini Asante 🙏🙏Kwa anayefuatilia kinachoendelea DRC, hasa katika mkoa wa Goma, atakuwa anajiuliza: Liko wapi lile jeshi jasiri la JWTZ ambalo mwaka 2012-2013 liliwafurusha waasi wa M23 na kuwafanya wasambaratike kabisa?
Kwa mshangao mkubwa, baada ya uchaguzi wa DRC na kuingia madarakani kwa Félix Tshisekedi, waasi wale wale wa M23 wameibuka tena kwa nguvu mpya, wakiwa na uwezo wa kuteka Goma na sasa wakielekea Bukavu. Inaonekana lengo lao ni kuimega DRC, lakini kosa ni la nani?
- Je, ni Tshisekedi mwenyewe, ambaye kwa sera zake ameshindwa kuimarisha ulinzi wa nchi yake?
- Au ni MONUSCO, ambalo lilifuta vikosi vya kulinda amani kuwa chini ya Chapter 6 badala ya Chapter 7, hivyo kulifanya JWTZ na walinda amani wengine kuwa wasio na mamlaka ya kupambana na waasi moja kwa moja?
Kwa Nini Tanzania Inaonekana Inampiga Tshisekedi Darubini?
Ukiangalia historia, Tanzania imekuwa mshirika wa karibu wa marais wawili wa DRC:
- Laurent-Désiré Kabila, ambaye alikombolewa kwa msaada wa Tanzania.
- Joseph Kabila, ambaye pia alifaidika na uhusiano wa karibu kati ya Tanzania na DRC.
Lakini kwa Tshisekedi, hali inaonekana tofauti. Serikali ya Tanzania inaonekana kumsaidia kwa "machale machale"—yaani, si kwa nguvu kama ilivyokuwa kwa Kabila na Kabila. Kwa nini?
- Je, ni kwa sababu hakuwa sehemu ya mfumo wa ushawishi wa Tanzania?
- Au ni kwa sababu alipotwaa madaraka, alikimbilia kushirikiana zaidi na Kenya badala ya Tanzania?
- Au alidhani waasi wa M23 wangebakia kule kule Goma, bila kujua kuwa nguvu zao zinatoka Kigali na Kampala?
Tanzania inajua kinachoendelea. Watu wetu wa intelligentsia wamekusanya taarifa zote. Lakini inaonekana Tanzania imeamua kuwapotezea kwa sasa—kwa sababu nzuri tu.
Je, JWTZ Itaendelea Kukaushia au Itaingilia Kati?
Historia inaonesha kuwa Tanzania si nchi inayopenda kuona mataifa jirani yanameguka vipande vipande. Tuliwaunga mkono sana Wacongo bila masharti, tukiwapa muda wa kujijenga. Lakini wao wakaleta dharau.
Sasa swali kubwa ni: Tshisekedi atajinasua vipi?
- Atapiga magoti kwa Tanzania na kuomba msaada?
- Atazidi kung’ang’ania kwa Kenya na wengine, huku waasi wakiendelea kuikata DRC vipande vipande?
Muda utaamua. Lakini kwa sasa, JWTZ linaendelea na "hamsini zake", likiwa linajua vizuri kwanini halijarudi vitani kama ilivyofanya mwaka 2012-2013. Sababu tunayo, tena inajitosheleza!
Siogopi vurugu ila na huruma humanity nieeleweSi ulisema ulikuwa jeshini wewe au ulikuwa unatupanga??
Au ulikimbia mgambo halafu mnakuja humu kujimwambafai?? Sasa mjeshi gani anaogopa vurugu??!!
Inabidi hili wazo lifanyiwe kazi nawewe upewe japo ya soda kwa wazo muruaSio kila Jambo tuwaige wazungu.
Mengine tunaweza kujiongeza wenyewe.
Kwa nchi yetu ulinzi na Usalama ni huduma ambayo wananchi lazima wapewe lakini ulinzi na Usalama ni biashara inayolipa kama tukiiuza kwa nchi zingine.
Serikali na vyombo vya kijeshi vinaweza kuundw Kitengo kingine cha kijeshi ambacho kitapewa mafunzo ya kijeshi na kitahusika zaidi na mission za Nje ya Nchi.
Hapa wachukuliwe wale watu ambao wanapenda Michezo Hatari, Dili Hatari na wapiganaji wa Kulipwa lakini Kwa maslahi yao na maslahi ya Nchi.
Kisha Kazi ianze.
Kuliko vijana wawe Panya road au mateja huko mtaani na barabarani na Wana hobby ya mambo kama hayo ni Bora wapelekwe huko
Lakini lazima wapewe mafunzo ya kimedani wawe na uwezo.
Sio waende kuuza roho Zao huko
JW ya 70s na 80s siyo sawa na hii ya 2000s.Kwa anayefuatilia kinachoendelea DRC, hasa katika mkoa wa Goma, atakuwa anajiuliza: Liko wapi lile jeshi jasiri la JWTZ ambalo mwaka 2012-2013 liliwafurusha waasi wa M23 na kuwafanya wasambaratike kabisa?
Kwa mshangao mkubwa, baada ya uchaguzi wa DRC na kuingia madarakani kwa Félix Tshisekedi, waasi wale wale wa M23 wameibuka tena kwa nguvu mpya, wakiwa na uwezo wa kuteka Goma na sasa wakielekea Bukavu. Inaonekana lengo lao ni kuimega DRC, lakini kosa ni la nani?
- Je, ni Tshisekedi mwenyewe, ambaye kwa sera zake ameshindwa kuimarisha ulinzi wa nchi yake?
- Au ni MONUSCO, ambalo lilifuta vikosi vya kulinda amani kuwa chini ya Chapter 6 badala ya Chapter 7, hivyo kulifanya JWTZ na walinda amani wengine kuwa wasio na mamlaka ya kupambana na waasi moja kwa moja?
Kwa Nini Tanzania Inaonekana Inampiga Tshisekedi Darubini?
Ukiangalia historia, Tanzania imekuwa mshirika wa karibu wa marais wawili wa DRC:
- Laurent-Désiré Kabila, ambaye alikombolewa kwa msaada wa Tanzania.
- Joseph Kabila, ambaye pia alifaidika na uhusiano wa karibu kati ya Tanzania na DRC.
Lakini kwa Tshisekedi, hali inaonekana tofauti. Serikali ya Tanzania inaonekana kumsaidia kwa "machale machale"—yaani, si kwa nguvu kama ilivyokuwa kwa Kabila na Kabila. Kwa nini?
- Je, ni kwa sababu hakuwa sehemu ya mfumo wa ushawishi wa Tanzania?
- Au ni kwa sababu alipotwaa madaraka, alikimbilia kushirikiana zaidi na Kenya badala ya Tanzania?
- Au alidhani waasi wa M23 wangebakia kule kule Goma, bila kujua kuwa nguvu zao zinatoka Kigali na Kampala?
Tanzania inajua kinachoendelea. Watu wetu wa intelligentsia wamekusanya taarifa zote. Lakini inaonekana Tanzania imeamua kuwapotezea kwa sasa—kwa sababu nzuri tu.
Je, JWTZ Itaendelea Kukaushia au Itaingilia Kati?
Historia inaonesha kuwa Tanzania si nchi inayopenda kuona mataifa jirani yanameguka vipande vipande. Tuliwaunga mkono sana Wacongo bila masharti, tukiwapa muda wa kujijenga. Lakini wao wakaleta dharau.
Sasa swali kubwa ni: Tshisekedi atajinasua vipi?
- Atapiga magoti kwa Tanzania na kuomba msaada?
- Atazidi kung’ang’ania kwa Kenya na wengine, huku waasi wakiendelea kuikata DRC vipande vipande?
Muda utaamua. Lakini kwa sasa, JWTZ linaendelea na "hamsini zake", likiwa linajua vizuri kwanini halijarudi vitani kama ilivyofanya mwaka 2012-2013. Sababu tunayo, tena inajitosheleza!
Hii point kabisa ya kuinakili kwa dunia ya sasa tulipaswa kufanya hii kitu ni sehemu ya kuongez ajira pia kukuza income ya nchi wakati huohuo unalinda maslahi yako.
Hakuna kitu. Pumba tupu. JW zamani sio sasa.... Na Kwa Namna Tunavyomuogopa Kagame Kimbaumbau trust me JW hata pua hawezi kusogeza😁😁Kwa anayefuatilia kinachoendelea DRC, hasa katika mkoa wa Goma, atakuwa anajiuliza: Liko wapi lile jeshi jasiri la JWTZ ambalo mwaka 2012-2013 liliwafurusha waasi wa M23 na kuwafanya wasambaratike kabisa?
Kwa mshangao mkubwa, baada ya uchaguzi wa DRC na kuingia madarakani kwa Félix Tshisekedi, waasi wale wale wa M23 wameibuka tena kwa nguvu mpya, wakiwa na uwezo wa kuteka Goma na sasa wakielekea Bukavu. Inaonekana lengo lao ni kuimega DRC, lakini kosa ni la nani?
- Je, ni Tshisekedi mwenyewe, ambaye kwa sera zake ameshindwa kuimarisha ulinzi wa nchi yake?
- Au ni MONUSCO, ambalo lilifuta vikosi vya kulinda amani kuwa chini ya Chapter 6 badala ya Chapter 7, hivyo kulifanya JWTZ na walinda amani wengine kuwa wasio na mamlaka ya kupambana na waasi moja kwa moja?
Kwa Nini Tanzania Inaonekana Inampiga Tshisekedi Darubini?
Ukiangalia historia, Tanzania imekuwa mshirika wa karibu wa marais wawili wa DRC:
- Laurent-Désiré Kabila, ambaye alikombolewa kwa msaada wa Tanzania.
- Joseph Kabila, ambaye pia alifaidika na uhusiano wa karibu kati ya Tanzania na DRC.
Lakini kwa Tshisekedi, hali inaonekana tofauti. Serikali ya Tanzania inaonekana kumsaidia kwa "machale machale"—yaani, si kwa nguvu kama ilivyokuwa kwa Kabila na Kabila. Kwa nini?
- Je, ni kwa sababu hakuwa sehemu ya mfumo wa ushawishi wa Tanzania?
- Au ni kwa sababu alipotwaa madaraka, alikimbilia kushirikiana zaidi na Kenya badala ya Tanzania?
- Au alidhani waasi wa M23 wangebakia kule kule Goma, bila kujua kuwa nguvu zao zinatoka Kigali na Kampala?
Tanzania inajua kinachoendelea. Watu wetu wa intelligentsia wamekusanya taarifa zote. Lakini inaonekana Tanzania imeamua kuwapotezea kwa sasa—kwa sababu nzuri tu.
Je, JWTZ Itaendelea Kukaushia au Itaingilia Kati?
Historia inaonesha kuwa Tanzania si nchi inayopenda kuona mataifa jirani yanameguka vipande vipande. Tuliwaunga mkono sana Wacongo bila masharti, tukiwapa muda wa kujijenga. Lakini wao wakaleta dharau.
Sasa swali kubwa ni: Tshisekedi atajinasua vipi?
- Atapiga magoti kwa Tanzania na kuomba msaada?
- Atazidi kung’ang’ania kwa Kenya na wengine, huku waasi wakiendelea kuikata DRC vipande vipande?
Muda utaamua. Lakini kwa sasa, JWTZ linaendelea na "hamsini zake", likiwa linajua vizuri kwanini halijarudi vitani kama ilivyofanya mwaka 2012-2013. Sababu tunayo, tena inajitosheleza!
Ni mwaka wa uchaguzi, utulivu ni muhimu zaidiKwa anayefuatilia kinachoendelea DRC, hasa katika mkoa wa Goma, atakuwa anajiuliza: Liko wapi lile jeshi jasiri la JWTZ ambalo mwaka 2012-2013 liliwafurusha waasi wa M23 na kuwafanya wasambaratike kabisa?