Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Uasi ni rahisi sana kufanyika kwa namna unavyotaka iwe.JWTZ ikachukue kandarasi Hilo ipige Pesa
Hizo ndizo Kazi zenyewe.
Ndani ya JWTZ kiundwe kikosi kingine cha kushughulikia mambo ya Nje ya mipaka ya Nchi.
Vijana waajiriwe wakapige Kazi. Hela iletwe nchini.
Hayo Mengine ya sifa za kijinga tuachane nayo
Peleka wale JKTJWTZ ikachukue kandarasi Hilo ipige Pesa
Hizo ndizo Kazi zenyewe.
Ndani ya JWTZ kiundwe kikosi kingine cha kushughulikia mambo ya Nje ya mipaka ya Nchi.
Vijana waajiriwe wakapige Kazi. Hela iletwe nchini.
Hayo Mengine ya sifa za kijinga tuachane nayo
Unawaza tu hela sio kwanini wewe usiende watu wanakufa au hamuonagi?JWTZ ikachukue kandarasi Hilo ipige Pesa
Hizo ndizo Kazi zenyewe.
Ndani ya JWTZ kiundwe kikosi kingine cha kushughulikia mambo ya Nje ya mipaka ya Nchi.
Vijana waajiriwe wakapige Kazi. Hela iletwe nchini.
Hayo Mengine ya sifa za kijinga tuachane nayo
Uasi ni rahisi sana kufanyika kwa namna unavyotaka iwe.
Nyumba isio na ulinzi wizi huangalia udhaifu wake na kufanya tukio.Hapa hakuna threat kwamba kutakuwa na machafuko yapi hayo..?
Wananchi wameridhika na maisha yao na wanapilika zao siasa wengi hawapendi kabisa.
Kwanini msikamate vijana wa familia zenu mka wapeleka mnafurahia watu wanavyo kufaPeleka wale JKT
Unawaza tu hela sio kwanini wewe usiende watu wanakufa au hamuonagi?
Huko nje ndo rahisi kutekeleza yote hayo.Uasi unahitaji Nia, mipango, mikakati, mobilization, fedha.
Sio rahisi Uasi kutokea Jeshini, hasa kufanya mobilization na fedha. Unaweza kuwa na Nia, mipango na mikakati ukafeli kwenye mobilization na fedha
Kwanini msikamate vijana wa familia zenu mka wapeleka mnafurahia watu wanavyo kufa
Kwanini msikamate vijana wa familia zenu mka wapeleka mnafurahia watu wanavyo kufa
Kwanini msikamate vijana wa familia zenu mka wapeleka mnafurahia watu wanavyo kufa
Sawa ila kila mtu na mtazamo wake pesa zipo zinatafutwaKuna watu wanawaza Pesa kuliko unavyofikiri na wapo tayari kufanya chochote.
Tumia rasilimali zote na karama zote za nchi
Huko nje ndo rahisi kutekeleza yote hayo.
Unajua taraibu za kijeshi jina lako likisha somwa kwenye oder no kupinga amri labda uwe na matatizo ambayo dr anayajua na una uthibitisho isitoshe mkuu. Ni fahari kwa mwanajeshi kufa akitetea nchi yake kulinda amani lakini sio kwa nchi ya mtu mwingine inakuwa mbaya sana ni nje ya kiapo mkuu inauma ila ni kutii sheria na amri tuKwani wanalazimishwa kwenda huko.
Hizo ni Kazi kama Kazi zingine mzee
Sawa ila kila mtu na mtazamo wake pesa zipo zinatafutwa
Huwezi kushauriwa kila kitu, kuna baadhi ya maamuzi unafanya wewe kama kiongozi na walio chini wanakusikiliza hivyo ndivyo chain of command inafanya kazi.Si kweli magenerali wetu wanamsaidia mama kwa kribu sana tena sana kuliko wakati wowote na naamini ni wao ndio wametoa ushauri kuwa jeshi letu litulie kimya.
Ngoj ruendelee kusubiri kitachojiri.
Sina hofu wala uoga ila nimeshuhudia familia ziki mwaga machozi na wengine walio rudi wakiwa na vilema wakijilaumu🤓🤓
Mkuu ni kama unawoga Fulani hivi.
Kuna watu hizo ndio Kazi Zao. Nishakuambia Kazi Hatari, Kazi za Roho Mkononi.
Unajua taraibu za kijeshi jina lako likisha somwa kwenye oder no kupinga amri labda uwe na matatizo ambayo dr anayajua na una uthibitisho isitoshe mkuu. Ni fahari kwa mwanajeshi kufa akitetea nchi yake kulinda amani lakini sio kwa nchi ya mtu mwingine inakuwa mbaya sana ni nje ya kiapo mkuu inauma ila ni kutii sheria na amri tu
Sina hofu wala uoga ila nimeshuhudia familia ziki mwaga machozi na wengine walio rudi wakiwa na vilema wakijilaumu
Oh sawaNdio maana nikasema viundwe Kikosi kwa ajili ya ishu hizo.
Sio kwamba kila Mwanajeshi awe kwenye hicho Kikosi Kazi.
Mataifa makubwa karibia yote Yana hiyo biashara na wapo vijana wanapelekwa Kazi hizo na wanapata Mpunga mrefu tuu