Ukimya wa viongozi wa vyama vya upinzani kukamatwa kwa Mbowe kunatufundisha yafuatayo

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Hadi Sasa hakuna kiongozi wa chama Cha upinzani aliyejitokeza kupongeza au kukemea kilichofanywa na Jeshi la Polisi dhidi Mhe. Freeman Mbowe, ukimya huu unatoa tafsiri zifuatazo kwa mtizamo wangu;

1. ACT Wazalendo baada ya kupata nafasi Zanzibar imeanza kujiona sehemu ya serikali na mapambano ya haki kwao si kazi yao Tena. Lakini pia ukimya huu unakuja baada ya maridhoano yaliyopelekea viongozi wa chama hicho kupata fedha za kukipiga tafu chama lakini pia viongozi wao bara kupewa ahadi ya nafasi za uongozi.

2. ACT muundo wake ni wa mtu mmoja anayeamini kwamba siku moja chama chake kitakuwa na kusimama Kama chama kikuu Cha upinzani. Akiamini lazima chadema ife ndipo aweze kupata nafasi

3. Vyama vilivyobaki vyote ni matawi ya CCM, havina dira wala mwelekeo na nguvu zimeisha.

Pamoja na ukimya wao, ipo faida kwamba hata wale wafuasi wao ambao waliamini wanateswa na ccm wamekosa chama mbadala chenye dira na hivyo wote aidha kwa kupenda au kutokupenda wameamua kulia na chadema. Lakini pia ccm nayo imepata pigo baada ya familia nyingi kuumizwa bila hatia na utawala uliopita. Hivyo kwa Sasa nguvu ya siasa za hoja imebaki chadema
 
CDM kitabaki kuwa chama chenye nguvu na ipo siku kitatawala nchi hii.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Hakuna aliye tayari kumtetea Mhalifu anayejificha kwenye mwamvuli wa Siasa
 
Nakumbuka Lissu alisema ACT sio chama cha upinzani kinatumika tu na serikali japo nilishangaa tena Lissu kushirikiana nao mwaka jana.
 
Hayo yote ni mashina ya CCM
Halafu bado huwa Chadema huwa wanashirikiana nao kama tivyoona mwaka jana,sasa kama chadema wanaweza kushirikiana na mashina ya ccm wanashindwa nini kushirikiana na ccm mwenyewe?
 
Hadi Sasa hakuna kiongozi wa chama Cha upinzani aliyejitokeza kupongeza au kukemea kilichofanywa na Jeshi la Polisi dhidi Mhe. Freeman Mbowe, ukimya huu unatoa tafsiri zifuatazo kwa mtizamo wangu;

1. ACT Wazalendo baada ya kupata nafasi Zanzibar imeanza kujiona sehemu ya serikali na mapambano ya haki kwao si kazi yao Tena. Lakini pia ukimya huu unakuja baada ya maridhoano yaliyopelekea viongozi wa chama hicho kupata fedha za kukipiga tafu chama lakini pia viongozi wao bara kupewa ahadi ya nafasi za uongozi.

2. ACT muundo wake ni wa mtu mmoja anayeamini kwamba siku moja chama chake kitakuwa na kusimama Kama chama kikuu Cha upinzani. Akiamini lazima chadema ife ndipo aweze kupata nafasi

3. Vyama vilivyobaki vyote ni matawi ya CCM, havina dira wala mwelekeo na nguvu zimeisha.

Pamoja na ukimya wao, ipo faida kwamba hata wale wafuasi wao ambao waliamini wanateswa na ccm wamekosa chama mbadala chenye dira na hivyo wote aidha kwa kupenda au kutokupenda wameamua kulia na chadema. Lakini pia ccm nayo imepata pigo baada ya familia nyingi kuumizwa bila hatia na utawala uliopita. Hivyo kwa Sasa nguvu ya siasa za hoja imebaki chadema

Vyama vya upinzani wenye akili timamu wataongea nini kuhusu viongozi wanaokumbatia haya maovu?
Kukaa kimya ni busara zaidi

Kila mmoja ashinde mechi zake mnataka kila chama kifuate fikra za Mbowe. Nyie si mnasema mna watu nguvu ya umma waambieni waingie barabarani achaneni na vyama vingine.
 
Hadi Sasa hakuna kiongozi wa chama Cha upinzani aliyejitokeza kupongeza au kukemea kilichofanywa na Jeshi la Polisi dhidi Mhe. Freeman Mbowe, ukimya huu unatoa tafsiri zifuatazo kwa mtizamo wangu;

1. ACT Wazalendo baada ya kupata nafasi Zanzibar imeanza kujiona sehemu ya serikali na mapambano ya haki kwao si kazi yao Tena. Lakini pia ukimya huu unakuja baada ya maridhoano yaliyopelekea viongozi wa chama hicho kupata fedha za kukipiga tafu chama lakini pia viongozi wao bara kupewa ahadi ya nafasi za uongozi.

2. ACT muundo wake ni wa mtu mmoja anayeamini kwamba siku moja chama chake kitakuwa na kusimama Kama chama kikuu Cha upinzani. Akiamini lazima chadema ife ndipo aweze kupata nafasi

3. Vyama vilivyobaki vyote ni matawi ya CCM, havina dira wala mwelekeo na nguvu zimeisha.

Pamoja na ukimya wao, ipo faida kwamba hata wale wafuasi wao ambao waliamini wanateswa na ccm wamekosa chama mbadala chenye dira na hivyo wote aidha kwa kupenda au kutokupenda wameamua kulia na chadema. Lakini pia ccm nayo imepata pigo baada ya familia nyingi kuumizwa bila hatia na utawala uliopita. Hivyo kwa Sasa nguvu ya siasa za hoja imebaki chadema
Wameshausoma MCHEZO WA SIASA....

HAKUNA atakaye kuvunjwa miguu akose kuwatafutia dona wanawe kisa ya siasa koko za MWEKEZAJI MFANYABIASHARA MKUBWA mh.Mbowe.....

#KaziIendelee
 
zote hizo siyo sababu ni uongo mtupu hapo inaonyesha kuwa watu wameshawachoka hao chadema na vioja vyao sio kila siku ni wao tu wao tu kama vile hakuna vyama vingine wamechokwa wameachiwa wayamalize wenyewe
 
Wameshausoma MCHEZO WA SIASA....

HAKUNA atakaye kuvunjwa miguu akose kuwatafutia dona wanawe kisa ya siasa koko za MWEKEZAJI MFANYABIASHARA MKUBWA mh.Mbowe.....

#KaziIendelee

Halafu hata CCM wasifanye kampeni miaka 50 upinzani wa kushika dola haupo
 
Back
Top Bottom