kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Hadi Sasa hakuna kiongozi wa chama Cha upinzani aliyejitokeza kupongeza au kukemea kilichofanywa na Jeshi la Polisi dhidi Mhe. Freeman Mbowe, ukimya huu unatoa tafsiri zifuatazo kwa mtizamo wangu;
1. ACT Wazalendo baada ya kupata nafasi Zanzibar imeanza kujiona sehemu ya serikali na mapambano ya haki kwao si kazi yao Tena. Lakini pia ukimya huu unakuja baada ya maridhoano yaliyopelekea viongozi wa chama hicho kupata fedha za kukipiga tafu chama lakini pia viongozi wao bara kupewa ahadi ya nafasi za uongozi.
2. ACT muundo wake ni wa mtu mmoja anayeamini kwamba siku moja chama chake kitakuwa na kusimama Kama chama kikuu Cha upinzani. Akiamini lazima chadema ife ndipo aweze kupata nafasi
3. Vyama vilivyobaki vyote ni matawi ya CCM, havina dira wala mwelekeo na nguvu zimeisha.
Pamoja na ukimya wao, ipo faida kwamba hata wale wafuasi wao ambao waliamini wanateswa na ccm wamekosa chama mbadala chenye dira na hivyo wote aidha kwa kupenda au kutokupenda wameamua kulia na chadema. Lakini pia ccm nayo imepata pigo baada ya familia nyingi kuumizwa bila hatia na utawala uliopita. Hivyo kwa Sasa nguvu ya siasa za hoja imebaki chadema