Ukimya wa viongozi wa vyama vya upinzani kukamatwa kwa Mbowe kunatufundisha yafuatayo

Mungu ibariki Chadema
 
Ukiondoa Chadema, vyama vingine vyote vinavyojiita vya upinzani ni vibaraka na mapandikizi ya serikali ya ccm, hili liko wazi.

Wao wanaunga mkono dhuluma zote wanazofanyiwa wananchi na utawala huu ikiwa ni pamoja na kuhujumu chaguzi mbalimbali kwani hawana cha kupoteza.
 
Act wazalendo wapo bize wanajiondoa soon huko Zanzibar
 
Umeandika nini hapa?
Mwara vyama vya upinzani mara watu wa ccm humo kwenye andiko lako wanatafuta nini, kwani nao ni upinzani?

Watu wenye akili timamu hawawezi kuungana na magaidi na watu wasiotumia akili vizuri.
Matabaki kweye keyboard hapa hata mtaani watu hawjawajali.
Nakuuliza hivi huko dodoma mmeandamana kutokana ka kaulibyenu ya jana
Au mlikua mnatisha nabkujitekenya makalio?
 
mzee naona waporoja tu hivyo vyama vya upinzani hata watowe matamko 10000 ccm na police wao hata hawatetereki madamu wabongo ni mwabwege ccm watafanya watakavyo hilo la kwanza lapili mzee kama hulijuwi wazenji hawana haja na vyeo kama wewe unavyofikiri wa Zanzibar wanacho taka BENDERA ZA ZANZIBAR IPEPEPEE UMOJA WA MATAIFA BASI WALA SI VYENGINEVYO sio nyie huko bara. wabara wao wataka matumbo yao tu yajae si vyenginevyo hawana agenda agenda yao ni tumbo. na jengine kuingiya kwenye serikali ya umoja wa kitaifa ni just kuionesha jumuiya ya kimataifa kwamba wamefanya kila kitu kilicho juu ya uwezo wao wakuinusuru nchi hii na umwagaji wa damu lakini lakisikitisha ccm wamekataa kwahivyo hakuna jengine lililobaki isipokuwa kila mtu atafute njia yake ya kuikombowa Zanzibar.
 
Usilazimisha wengine waamini unachoamini....hili ndio kosa wanalofanya CDM kwa kuamini wako sahihi na lazima waungwe mkono...Mbowe kakamatwa unataka wengine watoe tamko.....
 
Wameshausoma MCHEZO WA SIASA....

HAKUNA atakaye kuvunjwa miguu akose kuwatafutia dona wanawe kisa ya siasa koko za MWEKEZAJI MFANYABIASHARA MKUBWA mh.Mbowe.....

#KaziIendelee
basi lipa tozo
 
No no no no, you are being unfair. Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar kaja na hoja ya Kisiwa cha Latham (Mafia) kuwa ni cha Zanzibar, yaani kaonyeshwa mappings and archives za Lancaster House, ni cha Sultani wa Oman. Makamo wa Kwanza a akipata kisuwa hicho, tayari sasa anakiomba. Why is tundulissu and fatmakarume not assisting pia wapatiwe Lamu na Mombasa na Sofala? Au wamekazania waende na askofu mwamakula kwa Mama Samia awabusu miguu? Na hivi mkutano wa ndani kwa ndani unapeperusha ubeligigiji ni mkutano wa hadharaaaaa au ni wa ndani?
 
Mkuu nchi hii hakuna upinzani hata huyo Mbowe ni walewale. Wakati wananchi tunalalamikia tozo za miamala ya simu na maelekezo y Mwigulu kuwa tuhamie Burundi. Mbowe ameandaa mkutano makusudi Mwanza tena akiwa na kauli kali kwa viongozi wa Serikali ili akamatwe.
Mbowe ametumika kufunika
1. Issue ya tozo iliyokuwa imemkalia mama vibaya
2. Kufunika kauli yake ya chanjo iwe lazima.
 
Bila serikali kuwafanyia hiyo dhulma Chadema basi ni sawa na kukuzuia hicho kufanya siasa zake Tanzania, Chadema bila purukushani na serikali hakuna chadema. Na hapo ndiyo penye utofauti na hivyo vyama vyengine.
 
Bila serikali kuwafanyia hiyo dhulma Chadema basi ni sawa na kukuzuia hicho kufanya siasa zake Tanzania, Chadema bila purukushani na serikali hakuna chadema. Na hapo ndiyo penye utofauti na hivyo vyama vyengine.
Sasa wewe unataka wafanye nini wakati ccm haitaki wafanye shughuli za kisiasa sasa walivisajili kwa nini si wavifute ieleweke moja kwa moja kwamba nchi ni ya chama kimoja. Huu unafiki wanafanya ya nini. Very stupid.
 
Sasa wewe unataka wafanye nini wakati ccm haitaki wafanye shughuli za kisiasa sasa walivisajili kwa nini si wavifute ieleweke moja kwa moja kwamba nchi ni ya chama kimoja. Huu unafiki wanafanya ya nini. Very stupid.
Soma vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…