Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania hakuna wanaharakati.
Kuna genge dogo tu la michongo...
Wa tz tunashida sehemu,watu wanajitokeza wanapambana mwisho wa siku inakula kwako na family yako.Wametuacha tuisome namba vizuri Ili akili itukae sawa
Tumeshuhudia kila kitu kupanda bei,ndio kila kitu kasoro vinywaji tu. Tulizoea kelele na ukosoaji mkubwa enzi za JPM na muhanga mkubwa kabisa akiwa ni JK.
Sioni hayo yakiwa kama zamani hii ina maana gani?
Wewe upo busy na nani?Tanzania hakuna wanaharakati.
Kuna genge dogo tu la michongo.
Hawafanyi kazi bure.
Sasa hivi wako busy na Mbowe.
Ni kama wana matatizo ya akili.
Utasikia wanakwambia huu mfumko wa bei umeletwa na CCM ili kutusahaulisha kesi ya Mbowe na Katiba mpya.
Chakula, dawa na vifaa vya ujenzi na nishati bei juu. Vileo bei chini, condom wanagawa bure. LaanaTumeshuhudia kila kitu kupanda bei,ndio kila kitu kasoro vinywaji tu. Tulizoea kelele na ukosoaji mkubwa enzi za JPM na muhanga mkubwa kabisa akiwa ni JK.
Sioni hayo yakiwa kama zamani hii ina maana gani?
Nimepita humu ndani nasikia eti hatupo huruMidume mizima inategemea wanaharakati ndo wawatetee, Mzee Sykes angesubiri wanaharakati tusingekuwa tunasheherekea siku ya Uhuru wa Tanganyika leo!
Mwenyezi Mungu awarehemu Watanzania!!!!!!!!!!!
Bei za bidhaa hushushwa na wananchi barabarani ni si mikundi cha wachache, lawama zituangukie wananchi na si Chadema.Tumeshuhudia kila kitu kupanda bei,ndio kila kitu kasoro vinywaji tu. Tulizoea kelele na ukosoaji mkubwa enzi za JPM na muhanga mkubwa kabisa akiwa ni JK.