Ukimya wa wanaharakati na wapinzani kwenye mfumuko wa bei ni dalili Rais Samia amekubalika au?

Ukimya wa wanaharakati na wapinzani kwenye mfumuko wa bei ni dalili Rais Samia amekubalika au?

Hana mradi mpya hata mmoja,ni viporo tu anamalizia
Kwa nini hamkumalizia nyie hadi mumuachie Samia?

Hivi ni viporo sio? 👇

3016496_BA2BC087-B043-497B-92C5-82D5C04D74BD.jpeg


3018505_Screenshot_20211201-065711.png


Screenshot_20211210-065148.png


Screenshot_20211210-064404.png


Screenshot_20211210-064159.png


Screenshot_20211209-214614.png


Screenshot_20211207-105903.png


Screenshot_20211205-200822.png
 
Tumeshuhudia kila kitu kupanda bei, ndio kila kitu kasoro vinywaji tu. Tulizoea kelele na ukosoaji mkubwa enzi za JPM na muhanga mkubwa kabisa akiwa ni JK.

Sioni hayo yakiwa kama zamani hii ina maana gani?
Kupanda kwa bei ni ishu global sio Tanzania pekee.
 
Midume mizima inategemea wanaharakati ndo wawatetee, Mzee Sykes angesubiri wanaharakati tusingekuwa tunasheherekea siku ya Uhuru wa Tanganyika leo!

Mwenyezi Mungu awarehemu Watanzania!!!!!!!!!!!
Nyerere alipambana sana, hata hivyo uhuru tungeupata hata asingepambana.
 
TUJIKITE KUPIGIA DEBE KILIMO CHA BANGE......hakuna haja ya kukata na kuichoma....WATANZANIA wenzangu wapi tunafeli....Bange inalimwa kila kona....but wakikamata wanahifadhi yao kdg....ingine wanachoma......majirani zetu weshaanza kufaidi.....
 
Wa tz tunashida sehemu,watu wanajitokeza wanapambana mwisho wa siku inakula kwako na family yako.

hautakiwi upambane,maana huwezi kutoboa.
ila unatakiwa uonyeshe njia.

tatizo watu wako kimichongo zaidi,ndio sababu hata wanazimishwa.
 
Wanaona haya... Walimkashfu Magufuli so kitendo cha kuilalamikia serikali hii watakuwa wanaonyesha mapungufu ya serikali hii ambayo kwa JPM hayakuwepo. Maana yake watakuwa wamemkubali JPM kiaina.
Mwenzao Chahali juzi kajitokeza na kudai madini yanaibiwa (toroshwa) sana. Ameshambuliwa hadi kakoma.
Naomba hali hii iendelee na zaidi ili wabaya wetu ( wauwaji wa mtu asiye na hatia) wawe wazi.
Mungu hamfichi mnafki!

wakati ni hakimu wa haki[emoji23][emoji23][emoji23].

mpaka jasusi wa maandazi yamefika hapa.
 
Back
Top Bottom