Ukimya wa wanaharakati na wapinzani kwenye mfumuko wa bei ni dalili Rais Samia amekubalika au?

Ukimya wa wanaharakati na wapinzani kwenye mfumuko wa bei ni dalili Rais Samia amekubalika au?

Wanaona haya... Walimkashfu Magufuli so kitendo cha kuilalamikia serikali hii watakuwa wanaonyesha mapungufu ya serikali hii ambayo kwa JPM hayakuwepo. Maana yake watakuwa wamemkubali JPM kiaina.
Mwenzao Chahali juzi kajitokeza na kudai madini yanaibiwa (toroshwa) sana. Ameshambuliwa hadi kakoma.
Naomba hali hii iendelee na zaidi ili wabaya wetu ( wauwaji wa mtu asiye na hatia) wawe wazi.
Mungu hamfichi mnafki!
 
Kuna raia yoyote aliyelalamika kuwa kura zimeporwa?.
Aysee..
Labda ww ni mgeni Tz.
Em pitia haya:

Aysee..
Labda ww ni mgeni Tz.
Em pitia haya:

Sasa Kama waliweza kulalamika kuibiwa kura.kwanink washindwe kulalamika kupanda vitu Bei?
Waingie mitaani waandamane
 
Tumeshuhudia kila kitu kupanda bei,ndio kila kitu kasoro vinywaji tu. Tulizoea kelele na ukosoaji mkubwa enzi za JPM na muhanga mkubwa kabisa akiwa ni JK.

Sioni hayo yakiwa kama zamani hii ina maana gani?
Unaelewa unachoandika? Unaelewa maana ya mfumuko wa bei?

Bei zilizopo zinasapoti ukuaji wa uchumi na hakuna shida yoyote ndio maana unaona kuko kimya.

Ikiwa Tanzania kuna mfumuko wa bei je hizi Nchi hapa zina nini?👇

Screenshot_20211022-185621.png

Screenshot_20211022-185717.png
 
Badala ya kuacha nguvu ya soko iamue bei, wapo kulinda viwanda vya ndani kwa kumuumiza mwananchi mnyonge.......hawa watu hawaelewi hata wanachofanya, nafikiri wana umiliki kwenye hivyo viwanda wanavyodai kuvilinda.
Wewe unaelewa nini?
 
Tumeshuhudia kila kitu kupanda bei,ndio kila kitu kasoro vinywaji tu. Tulizoea kelele na ukosoaji mkubwa enzi za JPM na muhanga mkubwa kabisa akiwa ni JK.

Sioni hayo yakiwa kama zamani hii ina maana gani?
hao wanaharakati na wapinzani wanavyokua wanaumizwa na serikali katili ya CCM nyie huwa mnachukua hatua gani??
 
Unaelewa unachoandika? Unaelewa maana ya mfumuko wa bei?

Bei zilizopo zinasapoti ukuaji wa uchumi na hakuna shida yoyote ndio maana unaona kuko kimya.

Ikiwa Tanzania kuna mfumuko wa bei je hizi Nchi hapa zina nini?👇

View attachment 2038996

View attachment 2038997
Kwa hiyo kukiwa kimya ndo mnaona mmefanya kazi watu wamerizika, wee jamaa unaonekana kiazi sana......yaani tathmini mnayoifanyia kazi ni watu kukaa kimya! kuna thread ngapi humu watu wanalalamikia kupanda kwa bei za vifaa vya ujenzi kiholela.
 
Ukilalamika Kwa upuuzi wako hakuna wa kujali.Parameters za Uchumi ziko vizuri no one cares your nonsense ulalamishi.
 
Zitto alisema msitegemee kumuona akikosoa awamu hii ya 6
 
Back
Top Bottom