Ukimya wa wanaharakati na wapinzani kwenye mfumuko wa bei ni dalili Rais Samia amekubalika au?

Tumeshuhudia kila kitu kupanda bei, ndio kila kitu kasoro vinywaji tu. Tulizoea kelele na ukosoaji mkubwa enzi za JPM na muhanga mkubwa kabisa akiwa ni JK.

Sioni hayo yakiwa kama zamani hii ina maana gani?
Kupanda kwa bei ni ishu global sio Tanzania pekee.
 
Midume mizima inategemea wanaharakati ndo wawatetee, Mzee Sykes angesubiri wanaharakati tusingekuwa tunasheherekea siku ya Uhuru wa Tanganyika leo!

Mwenyezi Mungu awarehemu Watanzania!!!!!!!!!!!
Nyerere alipambana sana, hata hivyo uhuru tungeupata hata asingepambana.
 
TUJIKITE KUPIGIA DEBE KILIMO CHA BANGE......hakuna haja ya kukata na kuichoma....WATANZANIA wenzangu wapi tunafeli....Bange inalimwa kila kona....but wakikamata wanahifadhi yao kdg....ingine wanachoma......majirani zetu weshaanza kufaidi.....
 
Wa tz tunashida sehemu,watu wanajitokeza wanapambana mwisho wa siku inakula kwako na family yako.

hautakiwi upambane,maana huwezi kutoboa.
ila unatakiwa uonyeshe njia.

tatizo watu wako kimichongo zaidi,ndio sababu hata wanazimishwa.
 

wakati ni hakimu wa haki[emoji23][emoji23][emoji23].

mpaka jasusi wa maandazi yamefika hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…