Ukimya wa wanasiasa wakongwe Erythrocyte na Salary Slip wazua gumzo.

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Ukimya wa Wanasiasa wakongwe wa Chadema hapa JF ndg Erythrocyte na Salary Slip umezua mashaka makubwa kwa members wengi humu jukwaani.

Maoni ya wanasiasa hawa yanaweza kushawishi au hata kwa kiasi fulani kusababisha mshindi katika uchaguzi ujao.

Kwa zaidi ya miaka kumi, hamna hata siku moja wakongwe hawa wamewahi kutoa neno la upinzani kwa Lissu au Mbowe lakini kwa mara ya kwanza intend kutokea.
 
Haya ni machawa waliotengezwa na Mzee Mbowe miaka nenda rudi na hawana kazi ya kufanya ,hapa ndio tatizo linapoanzia ,embu fikiria mtu kama Lema au John Mrema leo hii Mwenyekiti sio Mbowe.
 
Ukimya wa Wanasiasa wakongwe wa Chadema hapa JF ndg Erythrocyte na Salary Slip umezua mashaka makubwa kwa members wengi humu jukwaani.

Maoni ya wanasiasa hawa yanaweza kushawishi au hata kwa kiasi fulani kusababisha mshindi katika uchaguzi ujao.

Kwa zaidi ya miaka kumi, hamna hata siku moja wakongwe hawa wamewahi kutoa neno la upinzani kwa Lissu au Mbowe lakini kwa mara ya kwanza intend kutokea.
ERYTHROCYTE CHAWA WA MBOWE KACHANGANYIKIWA JANA LISSU ALIVYOTANGAZA KUGOMBEA UENYEKITI MAPAKA AKAANDIKA LISSUYU HAGOMBEI CHEO CHA MBOWE HAPO NANI ALIMUELEWA SIJUI?
 
Hakuna Tajiri aliye Chawa, uchawa wa akina Steve Nyerere unahusu kutafuta hela za kujikimu, Siyo mimi niliyeajiri watanzania 300, yaani nimeajiri watu wengi kuliko serikali ya awamu ya 6, Jaribuni kuniheshimu basi hata kama mnatumia ID fake
Ukiona tajiria anaeshinda kwenye mitandao hyuyo nu tajiri wa aina yake aisee?
 
Wakuikomboa CDM na huu mdororo wa siasa za upinzani nchini,vijana na wasomi kukata tamaa ya kupiga kura ni Lissu pekee.kete ya Lissu kuwa mwenyekiti CDM ni kama ile Kete ya kuchenji Gia angani ya 2015.Mbowe asome upepo awe muungwana alinde heshima bila kugombea uenyekiti.
 
Back
Top Bottom