MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Haya ni machawa waliotengezwa na Mzee Mbowe miaka nenda rudi na hawana kazi ya kufanya ,hapa ndio tatizo linapoanzia ,embu fikiria mtu kama Lema au John Mrema leo hii Mwenyekiti sio Mbowe.Ukimya wa Wanasiasa wakongwe wa Chadema hapa JF ndg Erythrocyte na Salary Slip umezua mashaka makubwa kwa members wengi humu jukwaani.
Maoni ya wanasiasa hawa yanaweza kushawishi au hata kwa kiasi fulani kusababisha mshindi katika uchaguzi ujao.
Kwa zaidi ya miaka kumi, hamna hata siku moja wakongwe hawa wamewahi kutoa neno la upinzani kwa Lissu au Mbowe lakini kwa mara ya kwanza intend kutokea.
Umeibuka mkuu!! 🤣🤣Uongo utakusaidia nini?
Umasikini wako hauwezi kuondolewa kwa uongoHaya ni machawa waliotengezwa na Mzee Mbowe miaka nenda rudi na hawana kazi ya kufanya ,hapa ndio tatizo linapoanzia ,embu fikiria mtu kama Lema au John Mrema leo hii Mwenyekiti sio Mbowe.
Nimeibuka kutoka wapi?Umeibuka mkuu!! 🤣🤣
Nakupongeza kamanda kwa kusupport uenyekiti wa Lissu.Uongo utakusaidia nini?
Kwa hiyo wewe sio chawa wa mzee Mbowe?Umasikini wako hauwezi kuondolewa kwa uongo
ERYTHROCYTE CHAWA WA MBOWE KACHANGANYIKIWA JANA LISSU ALIVYOTANGAZA KUGOMBEA UENYEKITI MAPAKA AKAANDIKA LISSUYU HAGOMBEI CHEO CHA MBOWE HAPO NANI ALIMUELEWA SIJUI?Ukimya wa Wanasiasa wakongwe wa Chadema hapa JF ndg Erythrocyte na Salary Slip umezua mashaka makubwa kwa members wengi humu jukwaani.
Maoni ya wanasiasa hawa yanaweza kushawishi au hata kwa kiasi fulani kusababisha mshindi katika uchaguzi ujao.
Kwa zaidi ya miaka kumi, hamna hata siku moja wakongwe hawa wamewahi kutoa neno la upinzani kwa Lissu au Mbowe lakini kwa mara ya kwanza intend kutokea.
MNAGAWANA FITOChama Makoni kipo kwenye Uchaguzi nchi INATETEMEKA ....mbogamboga huko mapangoni macho na masikio Chadema
Hakuna Tajiri aliye Chawa, uchawa wa akina Steve Nyerere unahusu kutafuta hela za kujikimu, Siyo mimi niliyeajiri watanzania 300, yaani nimeajiri watu wengi kuliko serikali ya awamu ya 6, Jaribuni kuniheshimu basi hata kama mnatumia ID fakeKwa hiyo wewe sio chawa wa mzee Mbowe
Tulionya mapema sana tukapuuzwaChama Makoni kipo kwenye Uchaguzi nchi INATETEMEKA ....mbogamboga huko mapangoni macho na masikio Chadema
Ukiona tajiria anaeshinda kwenye mitandao hyuyo nu tajiri wa aina yake aisee?Hakuna Tajiri aliye Chawa, uchawa wa akina Steve Nyerere unahusu kutafuta hela za kujikimu, Siyo mimi niliyeajiri watanzania 300, yaani nimeajiri watu wengi kuliko serikali ya awamu ya 6, Jaribuni kuniheshimu basi hata kama mnatumia ID fake
MNAOMBOLEZA NA MBOWE WAKO LISSU KAJA KUWAMALIZA NA HACHUKUI CHAWA WA MBOWE MTAKULA NYASINimeibuka kutoka wapi?