Sasa maiti ni nani?!Du ni kama CCM walishindana na maiti.
Hama nchiJiwe sio mtanzania, katumwa kuiangamiza nchi yetu pendwa.
Kwa hiyo "NI YEYE" Ni maiti?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Du ni kama CCM walishindana na maiti.
Wenzako washaanza kujipanga kwa ajili ya 2025 🤣.Teh teh, tulianza na TWENDE NA MEMBE, upepo ukamgeuka ikaja NI YEYE! The thing is, upinzani na watu wake huwa hamjitambui, hamuangalii nyakati tulizo nazo. Without a free NEC and other institutions, bila kumpunguzia madaraka raisi, kizazi chetu kitapita bila kuona upinzani kuongoza dola.