Ukimzidi mshindani wako kwa 90%, kutakuwa na sababu mbili za wewe kushinda...

Ukimzidi mshindani wako kwa 90%, kutakuwa na sababu mbili za wewe kushinda...

Watu wameona isiwe tabu, mtu umepigwa risasi na bado hujapona vizuri halafu tena tukuongezee majukumu ya urais, ni afadhali tukuonee huruma kwa kumpa kura magufuli ili ukatibiwe vizuri
Umeelewa kilichoandikwa!?
Kweli CCM wamefanikiwa sana kuwafukarisha na kuwafanya misukule.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
NILIMSIKILIZA Obama siku moja akasema Democracy ya Afrika mwingine anabana wenzie left right,,anawafunga Jela na Kila aina ya Unyama baadae uchaguzi anashinda asilimia 90 anashangilia anasema anakubalika sana.
hata huko america wanaiba kura tena vizuri tu, sasa sisi ni nani!?..
 
nimesikia sehemu kua lissu alikuja huku kama field tu kujifunza namna ya kugombea uraisi.. na atagombea rasmi 2025,. teh teh
 
Hii jeshini tulikuwa tunasema kumtoa mtu umaarufu...Chadema mlijifanya maarufu sana sasa leo wananchi wamewaadabisha.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hamna mwananchi aliyah mwadibisha MTU,nimeshiriki huu uchaguzi nikiwa jikoni kabisa yametendeka mambo ya hovyo
 
Mtaandika sana nyuzi ila hamkujipanga uchaguzi huu mlikurupuka sana. Mgombea uraisi anazunguka mwenyewe nchi nzima bila sapoti ya viongozi wenzie.

Amsterdam alijaza sana mabarua ya mapovu kila kona
 
Hamna mwananchi aliyah mwadibisha MTU,nimeshiriki huu uchaguzi nikiwa jikoni kabisa yametendeka mambo ya hovyo
Una maanisha jikoni kwako au? Hawa roporopo wametolewa nishai na wananchi full stop.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ushindi mwingine aibu kwa kweli sawa na kujitia dole na kujinusa very shame, atleast naona wapinzani wapumzike kuteswa na kushindwa kwao kutaongeza ajira na umaskini utaisha
 
Ninachojua lissu ameshinda,na CDM ina wabunge 100 wa kuchaguliwa hata kama hawataapishwa, tunawaapisha ndani ya mioyo yetu Watanzania
Hakuna moyo wa mtanzania yeyote atakayemuapisha mtu kutoka upinzani, kama wameshindwa kupigiwa kura kwenye karatasi wataweza vp moyon mwa watu

Waapishe moyon ww mwenyew na uwalipe ujira wao
 
Back
Top Bottom