Wenzetu wanaamini kuwa NEC HURU ni kwajili ya CDM tu tena bila kutumia platforms za kisiasaHizi reforms zisingewezekana, CHADEMA ilisusia uchaguzi wa serikali za mitaa, Labour Party ya Mrema na UDP ya Chayo wakasema hawaoni mapungufu ya NEC na jumuia ya kimataifa ilijulishawa uchaguzi utajumuisha vyama vingi.
Wao wenyewe wanaona aibu!Yani huu wizi hata waliomshauri mfalme wamechemka! Ni aibu sana
Bashiru alisema "tutashinda kisayansi!" Mahera akafanikisha mchakato...Yani huu wizi hata waliomshauri mfalme wamechemka! Ni aibu sana
Kura yenyewe hujapiga kazi yako ni kulialia tu humu.Nenda mtaani sasa kudai kura yako.Ukimzidi mshindani wako kwa asilimia 90% kutakua na sababu kubwa mbili za wewe kuupata ushindi huo.
1. Uwezo wa mshindani wako katika mnachoshindania ulikua duni sana. Hili hata walimu huwa wanajitahidi kutunga mitihani yao kutokana na uwezo wa wengi darasani. Nusu ya darasa wakipata 90% basi inamaana mtihani ulikua rahisi sana. Sasa ukimzidi mshindani wako kwa 90% angalia mchakato mzima wa kumpata mshindi ulikuwaje?
2. Mshindani wako ulimminya kiasi cha kukosa nguvu kabisa katika shindano? Ni sawa na kuwa ulishindana na maiti isiyo na uwezo wa kujitetea. Katika hali hii kulikuwa na haja ya kuwa na shindano?
Katiba ya 2014 mchakato ulinajisiwa na kurudisha mfumo uleule unaofanana na wa sasa kwenye suala la siasa wewe unafikri waliondoka kwa sababu gani ?Wewe kama mpinzani ulipewa platform hiyo 2013-14, ulichofanya ni nini zaidi ya kulikimbia bunge? Au unadhani mabadiliko ya namna hiyo yanakuja vipi kama utakimbia bunge?
Naona unatumia masaburi kufikiri, endelea kulala hapo ufipa.
Ccm wanakubalika sana na wananchiUkimzidi mshindani wako kwa asilimia 90% kutakua na sababu kubwa mbili za wewe kuupata ushindi huo.
1. Uwezo wa mshindani wako katika mnachoshindania ulikua duni sana. Hili hata walimu huwa wanajitahidi kutunga mitihani yao kutokana na uwezo wa wengi darasani. Nusu ya darasa wakipata 90% basi inamaana mtihani ulikua rahisi sana. Sasa ukimzidi mshindani wako kwa 90% angalia mchakato mzima wa kumpata mshindi ulikuwaje?
2. Mshindani wako ulimminya kiasi cha kukosa nguvu kabisa katika shindano? Ni sawa na kuwa ulishindana na maiti isiyo na uwezo wa kujitetea. Katika hali hii kulikuwa na haja ya kuwa na shindano?
Watz mwizi mnajua lakini mnashindwa kuchukua hatuaChama cha majambazi na daylight robbery
Just allegations,where is the concrete proof?
Wananchi wanaipenda sana ccmKwanini kulikua na figisu za kuwaapisha mawakala kama hili ni kweli? Na ni kwanini kampeni za CCM zilijaza wanafuzi na watu wa kubebwa na mafuso?
Iwapo ile kauli ya mkulu kwa wasimamizi wa uchaguzi (ma-DED) haikuwahi kufutwa, hatupaswi kushangaa kwa hiki kinachotokea. "Trela" ilikuwa uchaguzi wa serikali za mitaa.Ukimzidi mshindani wako kwa asilimia 90% kutakua na sababu kubwa mbili za wewe kuupata ushindi huo.
1. Uwezo wa mshindani wako katika mnachoshindania ulikua duni sana. Hili hata walimu huwa wanajitahidi kutunga mitihani yao kutokana na uwezo wa wengi darasani. Nusu ya darasa wakipata 90% basi inamaana mtihani ulikua rahisi sana. Sasa ukimzidi mshindani wako kwa 90% angalia mchakato mzima wa kumpata mshindi ulikuwaje?
2. Mshindani wako ulimminya kiasi cha kukosa nguvu kabisa katika shindano? Ni sawa na kuwa ulishindana na maiti isiyo na uwezo wa kujitetea. Katika hali hii kulikuwa na haja ya kuwa na shindano?
Sasa huu ndio ushahidi?
ila wakuu tuliojitokeza kupiga kura tulikua wachache sana ile misongamano tuliyoizoea haikuwepo mwaka huuNategemea katika miaka mitano hii wafuasi wa CCM watauwana sanaa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Vuta pumzi vizuri ni kawaida ya penicillin injection kuuma...vumilia dawa iingie vizuri kijana.
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Pole sana mwalimu, wananchi tumeamua kufukuza wahuni bungeniUkimzidi mshindani wako kwa asilimia 90% kutakua na sababu kubwa mbili za wewe kuupata ushindi huo.