Ukimzidi mshindani wako kwa 90%, kutakuwa na sababu mbili za wewe kushinda...

wao pia walitakiwa waibe mkuu... mi ikitokea nmeingia katika siasa ntapitia upinzani lakini ntahakikisha naiba na kuwapiga bao la mkono vilevile..
wewe unachokiongea hukijui. Pole sana ndugu
 
How do you get free NEC or new constitution, naomba tu kuuliza?

Watu wengi wamekuwa wakiushauri upinzani hivyo bila kutoa mchongo wa kufikia hayo
 
Kuna wapenzi wa wanasiasa na wapenzi wa mifumo yademokrasia. Hapo ni kama ardhi na mbingu.
 
Utatukana matusi yote hadi utaishiwa!
Mambo yaliwaangusha hawa jamaa ni mengi, mojawapo ni matusi.
yani mtu akiwa against na wao awanauwezo wa kushawishi kwa hoja ili kumvuta awe upande wao, badalayake wanamshushia matusi mazito.
 
Mimi naona sababu ya kwanza ni kuntu.
 
Sasa kama wewe umekaa zako huko UK hutaki kurudi ili mpigie kura huyo kibaraka was unategemea nani sasa ampigie kura?
 


Ushindani gani huo?
 
Ni Yeye ni kiongozi wetu ije mvua like jua. Changamoto tutakabiliana nazo.
Wakati uko UK na kibabu chako unawadanganya wanasaccos bure lakini naona wameshakushitukia ndiyo maana hawana time na wewe! Pole.
 
Wewe ni mrembo.
Unachojaribu kueleza hakuna asiyekijua humu jf.
Cdm walikuwa wanatangaza mbinu zao hadharani.
Ccm hawakuwai kutangaza mbinu zao hata siku moja.
Kama kuna hatua unaweza kuichukua basi ichukue kimyakimya, kuongea hapa hakukupi matokeo unayoyatazamia.
 
CCM Mnaoshangilia matokeo haya, jiulizeni:
1. Miaka mitano mliongezewa mishahara kwa kuwa nyinyi ni makada?
2. Miaka mitano yote umewahi kuzipanda bombardier?
3. Miaka mitano hali yako binafsi ya kiuchumi imeimarika kwa kiasi gani?
4. Miaka mitano upatikanaji wa ajira umekuwa mkubwa kiasi gani?
5. Hawa wabunge wateule, wakuhofie wewe mpiga kura kwa lipi hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…