#COVID19 Ukiniambia kwanini napinga ripoti ya Tume ya CORONA, majibu yangu ni mepesi kabisa

Na tatizo kubwa ni pale kushindwa nje ya box, kusema kwa kadiri tulivyofungiwa.

Tufanye utafiti wa kila kitu kabla ya kuhukumu kwa elimu inayotufanya kushindwa kusonga mbele. Kama mavi ya tembo hayakumdhulu mtoto, kwanini hayakumdhulu? Kama yalitumika kwenye hiyo jamii, kwanini? Walianzaje? Yana kitu gani zaidi kinachoweza kuwa useful?

Unakimbilia kupinga bila kuchambua
 
Nyingi ni imani tu zisizo na kichwa wala miguu, tena zina madhara makubwa.

Watoto wengi wa hivyo vitovu haviponi mapema, wanapata shida. Wakiona hali inazidi kuwa mbaya ndio wanamkimbiza hospitali when it's too late.
 
Ni kweli watu hao hao baadhi yao wanakunywa dawa za ARV on daily basis lakin ndo wanaongoza kuipinga chanjo

Mikuna mtu aliniambia Mara wanalengo la kupunguza population ya waafrika nikamwambia Nigeria wako mill 200, Tanzania mill 60 nikamwambia huon population inakua kwa Kasi sana hakua na jibu

Jiwe Mungu amlaze mahali pema pepon kwangu mim anakua ni mtu wa ajabu sana, wizara ya afya stakeholders ni foreigner countries ndo wanatoa hela nyingi zaid ya serekali lakin alikua kutwa kuwaponda si angekataa na fedha zao, damage aliyoileta kwenye sekta ya afya ni kubwa sana
 
Yaani haihitaji hata rocket science kulijua hili.

Mimi huwa naongea sometimes na wazee kabisa wanakwambia, zamani walikuwa wanazaa watoto wengi sana. Lakini walikua wachache tu.

Binafsi bibi yangu tu alizaa watoto 12 lakini walikua 8 tu.

Lakini sasa hivi vifo vya watoto chini ya miaka 5 vimedhibitiwa kwa kiwango kikubwa sana kutokana na chanjo.

Sasa hivi watu wana ujasiri wa kuzaa hata mtoto mmoja na wanajua atakua tu.
 
Kwa upupu wa awamu hii ya sita basi ni dhahiri kuwa "sir 100" ndiye haswaa yule "kigogo" wa insta
 
Nikitafsiri ulichoandika..umemaanisha tume wameshalipwa posho ya kuliingiza taifa kwenye utata..na kwamba walikua na kazi rahisi tu ya kucopy na kupaste
 
Ukitazama kwa jicho la tatu hii tume ina hiden Agenda.
NI MAELEKEZO, wewe siuliona barakoa zilivyoanza kuvaliwa hata kabla ya taarifa. Sasa tusubiri hilo wimbi la tatu tutakavyopigwa lockdown, wakati wenzetu wanawatoa raia wao kwenye huo utumwa sisi tunawaza namna ya kuwekwa kizuizini ili tupate msaada wa COVEX facilite. 😉
 
hili ni andiko la kizalendo
 
Kwa hiyo unataka sekta ya afya iendeshwe kwa hisani ya watu wa marekani,uingereza n.k
 
Wamekula hela yetu ya Kodi report wamecopy na kupaste wamebadilisha tuu lugha kuwa kiswahil,
Yaan mtu unasubiria kwenye television kwamba maprofesa watakuja na nondo lakin report yao utadhani wanafunzi wa degree tena wale wanoandika report kwa mara ya Kwanza.
 
Buji wapuuzi daima hawajibiwi
Wewe ndio mpuuzi unaponda tume eti imecopy na kupaste huku na wewe thd yako yote ni copy n paste,

Ulianzisha thd humu JF watu wanunue vitu waweke akiba eti inakuja lockdown,pia ulikua unaponda wanaosema hakuna Corona ila leo hii unaiponda tume iliyotoa protocals za kufuatwa kuhusu janga hili,

Nchi almost zote Duniani zinatumia same protocals kupambana na hii pandemic na ndio maelekezo pia toka WHO,wewe ulitaka hiyo tume ije na protocals tofauti na nchi zingine wakati ugonjwa tunao pambana nao ni ule ule?

Huna elimu na haya mambo ndio maana ukaanza na defensive mechanism yako kua eti bora uwe na akili kuliko elimu,umetumia criteria gani kuhukumu kua hao wenye PhD umewazidi akili wewe uliyekosoa hata bila ya kuweka Scientific evidence?

Endelea na mada zako zakufikirika za kichawi mambo ya Shule yapo nje ya uwezo wako wa uelewa.
 
Wajawazito wanashauriwa hudhurieni Clinic mpate chanjo yenye vitamini ya FOLIC ACID hawataki, finally wanazaa watoto wenye ULEMAVU wa vichwa vikubwa halafu wanaanza kusema wamerogwa.
Kwanini chanjo na sio vidonge?
Pia punguza maneno.. changia kuwaelimisha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…