#COVID19 Ukiniambia kwanini napinga ripoti ya Tume ya CORONA, majibu yangu ni mepesi kabisa

Ripoti ya tume kwa ujumla wake iko vizuri sana. Pia zingatia kina msukuma hawawezi kuacha kununa kwa uwepo wa ripoti kama hiyo.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Mkuu heshima kwako.

Kwa vile hao waanga watanuna tu madhali hii ni awamu ya sita, basi ninasitisha rasmi majibu yangu kwenye hoja za uzi wako zilizowafanya kudemka kuliko mheshimiwa supika.

Ya nini sasa nkatwange maji kwenye kinu?
 
Mkuu heshima kwako.

Kwa vile hao waanga watanuna tu madhali hii ni awamu ya sita, basi ninasitisha rasmi majibu yangu kwenye hoja za uzi wako zilizowafanya kudemka kuliko mheshimiwa supika.

Ya nini sasa nkatwange maji kwenye kinu?
Hapaka kaka acha nyeupe iwe nyeupe ..weka kama ilivyo
 
Hapaka kaka acha nyeupe iwe nyeupe ..weka kama ilivyo

Mama anatuletea katiba mpya. Pole pole ndiyo mwendo.

Ningekuwa na sababu za kumalizia kuandika kuchelea kupoteza mpambanaji caliber yako lakini si kwa sababu ya kina nchukuma 😂😂😂😂😂😂😂 ambao kwao mama ni outcast!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Umeandika points tupuuu
 

Lakini haitoshi kufikiri au kusema kuwa “CONSPIRACY THEORY” haipo. Hii ndio alioisema Mshana kuwa elimu na akili ni vitu tofauti sana. Ulichokileta hapa ni “elimu” na sio akili. Kwani kuna tatizo gani kuhoji yaliyofanyika au yanayofanyika na watu wengine? Je tunapaswa kupokea tu yaliyofanywa na hao unaoona wana akili?
Elimu uliyofundishwa imeleta mabadiliko sana na hata kufifisha “Akili” zilizokuwepo awali.
 
Hawa watu wanataka kupiga hela kwa manufaa yao binafsi. Ila watanzania sio wajinga kama wanavyotufikiria. Ngoja tuone mwisho wao utakuwaje.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mimi nilishasema hii chanjo hata kwa bunduki hawanichanji..
 
India huko na kuna nchi moja nimesahau karibia asilimka kubwa wamechoma sindano na ajabu ugonjwa ndio unazid juzi hapa kuna wachina kibao wamefika eti wanataka kufungua pharmacy hiz na gafla tunasikia minara ya 5g inafungwa ndugu zanguni tumekwisha mama anatumbukiza shimoni tujianxae na vifo tukiacha wosia wa magu tujifukize tukajifanya kuchomani watu wameshachukua pesa mfukoninkimya kimya kilichobaki kuzikana tu tuombe sana hii nchi....
 
Angakieni hii video
Your browser is not able to display this video.
 
Kabisa mkuu,tuombe maamuzi ya serikali yasiwe kushurutisha kama majirani zetu Kenya.Kufa kwa njaa ni uhakika kuliko hiyo corona
Kweli maisha ya watanzania wengi ya yale ya kutafuta pesa ya kula kila siku
 
Kuna ku-challenge ambacho ni kitu kinaruhusiwa kabisa.

Lakini kuna baseless claims. Unabishana tu au kujenga hofu tu isiyokuwepo kutokana na uvumi tu ambao hata wewe mwenyewe hujui umeutoa wapi.

Corona virus imetokea China, ulitaka hao maprofesa waende China kutafiti Corona?

Mfano hapa hujui matatizo ya hawa watu ni yapi ?

  • Je, ni COVID-19 au Chanjo ?
  • Je, tatizo ni chanjo au wazungu ?

Na kama tatizo ni canjobya COVID au chanjo zote ?
Na kama tatizo ni Chanjo ya Covid ni ipi: Astra Zeneca, Moderna, Pfizer, au Sinovac ?

Na kwanini ulaumu wazungu kwa COVID-19 wakati tunajua imetoka China.

- Na kama tatizo ni Chanjo ya wazungu, ni nani kawalazimisha kununua chanjo ya wazungu wakati Sinovac ya mchina ipo.
 
Yani mimi nilishasema hii chanjo hata kwa bunduki hawanichanji..
Wala usiwe na hofu, serikali haina pesa za kununua chanjo ya kutosha kila mtanzania. Hata huko nchi zilizoendelea vijana wengi hawajapata.

Kama ikiletwa watakaochanja bure wanaweza kuwa watumishi wa Afya ( frontliners ), probably na wazee.

Wasafiri ambao ndio watu wanaoihitaji hiyo chanjo kwa nguvu wanaweza kuipata probably kwa kulipia.
 

So wewe unaona hiyo kamati imemulika hayo unayoyauliza?
Angalia hoja nzima ya Mshana alichokisema, then pima hoja uliyoileta hapa kama inaendana na muktadha mzima wa kile kamati ya corona ilichokifanya.
 
We Mshana ingawa unasema hujasoma lakini una akili kama za Prof Assad, ni ndugu yako ? , yeye alisema 60% ya wafanyakazi serikalini ni below perfection, yaani uelewa wao au utendaji wao ni hali jojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…