Ukinunua simu online (Mfano Ebay au AliExpress) kuipata ni bahati nasibu

Tatizo mzigo lazima ifunguliwe kwa ukaguzi
Shuguli inanzia hapo

Ova
Yaani dah wana discourage sana kununua vitu nje. Ile taasisi (Posta) miaka 100 haiji endelea aisee. Wajamaa wapigaji sana.
 
Nakumbuka niliagiza saa zile vintage..daah inauma sana nikikumbuka.

#MaendeleoHayanaChama
 
Posta Tz..wezi..wezi...wezi..hawafai nashangaa takukuru au polisi wanahangaika na watu wanao taka kuiletea maendeleo nchi hii kupitia dai la katiba mpya..wanaacha ku deali na wezi wa posta.

Posta na ombeni saa yangu.[emoji24]

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…