Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Nilipoona promo ya posta nikajua wamejivua gamba. Maana zamani hata nikipokea barua toka nje walikuwa wanaifumua kwanza kujiridhisha kama ni barua. Hizo ndo characteristics za watu wa nchi fukara. PoleniMkuu umeongea ukweli kabisa.. mm kuna item 4 zimepotea na zote zilifika Tanzania. Siku hizi sijui Tanzania imekua je.. wanaiba sana vitu tofauti na miaka ya nyuma mzigo unaupata kirahis kabisa