Ukinunua simu online (Mfano Ebay au AliExpress) kuipata ni bahati nasibu

Mkuu umeongea ukweli kabisa.. mm kuna item 4 zimepotea na zote zilifika Tanzania. Siku hizi sijui Tanzania imekua je.. wanaiba sana vitu tofauti na miaka ya nyuma mzigo unaupata kirahis kabisa
Nilipoona promo ya posta nikajua wamejivua gamba. Maana zamani hata nikipokea barua toka nje walikuwa wanaifumua kwanza kujiridhisha kama ni barua. Hizo ndo characteristics za watu wa nchi fukara. Poleni
 
Posta ni wangese Sana!
 
Unawaibia kwa sababu hutumii registered mail. Ukitumia registered mail huwaibii hata chembe
 
Umenikumbusha niliwahi kuigiza simu nje ya nchi kufika posta Tz ikapotea, sirudiii tena!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…