Ukioa makabila haya 10 ni mkataba kuachana ni hadi kifo

Ukioa makabila haya 10 ni mkataba kuachana ni hadi kifo

Afu vikabila vidogo vidogo sana ambavyo havijulikan vingine vinapatikana wapi...mtoa mada bado ana mindset ya kuwa kabila has something to do with tabia ya mtu which is ni mambo ya kale yale ya kina babu zetu wa mfecane war
mkuu najaribu kukuelewa bila shaka wewe utakuwa wa kule kaskazi ya miguu kama mikono
 
Utawapata wapi hao kwa idadi ni wachache sana mkuu
 
Bila wanyiramba kuwepo hapo hiyo list ni batili 🙄
 
Wasandawe big tick kabisa ila kama wewe ni mambo mengi hamtawezana coz so waongeaji sana
 
Back
Top Bottom