MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Huyu mpuuzi kuna muda huwa anaandika ujinga.Sasa mbona mnapowasema wanawake wa kizazi hiki huwa mnatumia bibi zetu kama reference kana kwamba wao walikuwa perfect, kumbe mnajua kwamba tofauti ya kizazi kile na cha sasa ni uhuru na uwazi tu na si tabia wala hulka, suala la kusema kwamba hao watu unaowaita exceptional ni wachache si kweli bali wapo wengi sana tu
Mkuu kwani hawakuelewi basiii? Wanajizima data tu.Mchana mwema nawe MKUU.
Ila Mada IPO palepale Mtoto WA nyoka siku zote ni nyoka tuu.
IPO hivyo kihistoria, kisayansi na kiimani.
Haiwezekaniki Mama awe muadilifu, ametoka kwenye damu isiyo na rekodi ya ukahaba alafu ghafla bin Vuu Binti awe Kahaba. Hiyo haiwezekani isipokuwa exceptional
Hii sentensi ya mwisho ungebold.Unajua maana ya Malaya wanawake wengi ni Malaya Ila wana-play innocent
Tabia za umalaya ni za kurithi
Mkuu Robert Heriel Mtibeli hiki unachosema ni sahihi kwa zaidi ya 90%. Mimi shuhuda nyingi saana za haya unayosema.
Baba Angu Amenitambulisha Kwamba Wewe Ndo Mama Angu Na Ndio Maana Nimekushauri Kama Hutaki Ushauri Wa Mwanao Ngoja Nimwambie Mtashauliana Wenyewe Mkiwa Kitandani Ukiwa Unafumuliwa Sawa MAMA?Wewe maku nimemwongelea Mwamposa kwenye comment yangu? Huo ushauri kampe mamako mzazi.
Siku Ingine Anza Kwa Kuamkia Wakubwa Zako!Ramadan Kareem.
Ni exceptional kwa mujibu wakoUkishasema exceptional hawawezi kuwa watu wengi.
Wanaosema hivyo sio Mimi
Ni exceptional kwa mujibu wako