Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,302
- 2,473
- Thread starter
-
- #21
Kwa kuwa we ni ke huwezi nielewa... Ndo maana umetokwa povu... Itakuwa ni mke mkubwa... Polefikra haziletwi na ongezeko la majukumu.
fikra zinaletwa na uwezo wako wa kuchanganua mambo. jinsi unavyoish na jamii. jinsi unavyoona fursa.
wengine tulifanikiwa before hata kabla ya kuoa..
na mafanikio haya kuchagizwa na wanawake.
leo hii tanzania ingekuwa na matajiri wengi sana kama kuoa watu wengi = mafanikio.
sisemi watu wasioe. waoe..
ila mafanikio hayaji kwa kuoa wake wengi. mafanikio yanakuja kwa uwezo wako mwenyewe.. kiakili.
ukiwa hewa kichwani hata ukioa wake 1000.. utabaki pale pale.
Vyote viwiliHuu Ni utafiti au Ni mtazamo wako binafsi??
MtanzaniaMtoa post we ni mkurya eti
Baba ukiwa stable huwa akuna mgawanyiko.. ukilegea ndio yanatokea matabaka.Shida sio kuoa tatizo hao watoto wa pande mbili ndiyo huwa shida hii changamoto imenikumba sana
Safi sana naunga hojaMtanzania
Kama huna akili utaweza kuoa kweli?yes sio unzinzi.. but kuoa hakukupi akili. kama huna huna tu.
mafanikio yako yanaletwa na fikra zako. si kuoa wake wengi
Kwa kuachama huko utakuwa victim😂😂😂😂😂🙆🙆
Utawaoaje 1000 ukiwa na hewa kichwani? Mbona mnakuja na mifano mfu.fikra haziletwi na ongezeko la majukumu.
fikra zinaletwa na uwezo wako wa kuchanganua mambo. jinsi unavyoish na jamii. jinsi unavyoona fursa.
wengine tulifanikiwa before hata kabla ya kuoa..
na mafanikio haya kuchagizwa na wanawake.
leo hii tanzania ingekuwa na matajiri wengi sana kama kuoa watu wengi = mafanikio.
sisemi watu wasioe. waoe..
ila mafanikio hayaji kwa kuoa wake wengi. mafanikio yanakuja kwa uwezo wako mwenyewe.. kiakili.
ukiwa hewa kichwani hata ukioa wake 1000.. utabaki pale pale.
Nilitegemea uweke hapa sababu za wewe kuona wanakosa akili..!!Amani iwe kwenu!
Natoa wito kwa wanaume ili upate mafanikio ya haraka, oa mke zaidi ya mmoja, utaona nacho maanisha.
Polygamy.
Huyo jamaa muanzisha uzi na wengine wanofanana naye kimtazamo, WANAFUATA ILE KAULI MBIU KWAMBA BEHIND EVERY SUCCESSIFUL MAN, THERE IS A WOMAN.. !!! Sasa ukitaka kufanikiwa zaidi OA wengi..!!! UZEMBE MTUPU..fikra haziletwi na ongezeko la majukumu.
fikra zinaletwa na uwezo wako wa kuchanganua mambo. jinsi unavyoish na jamii. jinsi unavyoona fursa.
wengine tulifanikiwa before hata kabla ya kuoa..
na mafanikio haya kuchagizwa na wanawake.
leo hii tanzania ingekuwa na matajiri wengi sana kama kuoa watu wengi = mafanikio.
sisemi watu wasioe. waoe..
ila mafanikio hayaji kwa kuoa wake wengi. mafanikio yanakuja kwa uwezo wako mwenyewe.. kiakili.
ukiwa hewa kichwani hata ukioa wake 1000.. utabaki pale pale.
unao wataja walikuwa wafalme. walikuwa na unlimited amount of resources.. means kuhudumia hao wanawake ilikuwa issue ndogo sana.Utawaoaje 1000 ukiwa na hewa kichwani? Mbona mnakuja na mifano mfu.
Babu yetu Suleimani alikuwa nao elfu moja akawa tajiri hakuna mfanowe... Daudi nae walikuwa wa kutosha tu... Na wote walikuwa na mafanikio sana.
Oh wapo. na sizungumzii maatahira? sizungumzii vichaa waokota makopo.Kama huna akili utaweza kuoa kweli?
Lakini bado ujanishawishi kuwa na mke zaid ya mmoja😄Baba ukiwa stable huwa akuna mgawanyiko.. ukilegea ndio yanatokea matabaka.