Ukioa mke mmoja akili haifanyinyi kazi!

Ukioa mke mmoja akili haifanyinyi kazi!

fikra haziletwi na ongezeko la majukumu.
fikra zinaletwa na uwezo wako wa kuchanganua mambo. jinsi unavyoish na jamii. jinsi unavyoona fursa.
wengine tulifanikiwa before hata kabla ya kuoa..
na mafanikio haya kuchagizwa na wanawake.

leo hii tanzania ingekuwa na matajiri wengi sana kama kuoa watu wengi = mafanikio.

sisemi watu wasioe. waoe..
ila mafanikio hayaji kwa kuoa wake wengi. mafanikio yanakuja kwa uwezo wako mwenyewe.. kiakili.

ukiwa hewa kichwani hata ukioa wake 1000.. utabaki pale pale.
Kwa kuwa we ni ke huwezi nielewa... Ndo maana umetokwa povu... Itakuwa ni mke mkubwa... Pole
 
Shida sio kuoa tatizo hao watoto wa pande mbili ndiyo huwa shida hii changamoto imenikumba sana
 
fikra haziletwi na ongezeko la majukumu.
fikra zinaletwa na uwezo wako wa kuchanganua mambo. jinsi unavyoish na jamii. jinsi unavyoona fursa.
wengine tulifanikiwa before hata kabla ya kuoa..
na mafanikio haya kuchagizwa na wanawake.

leo hii tanzania ingekuwa na matajiri wengi sana kama kuoa watu wengi = mafanikio.

sisemi watu wasioe. waoe..
ila mafanikio hayaji kwa kuoa wake wengi. mafanikio yanakuja kwa uwezo wako mwenyewe.. kiakili.

ukiwa hewa kichwani hata ukioa wake 1000.. utabaki pale pale.
Utawaoaje 1000 ukiwa na hewa kichwani? Mbona mnakuja na mifano mfu.
Babu yetu Suleimani alikuwa nao elfu moja akawa tajiri hakuna mfanowe... Daudi nae walikuwa wa kutosha tu... Na wote walikuwa na mafanikio sana.
 
Huyo jamaa muanzisha uzi na wengine wanofanana naye kimtazamo, WANAFUATA ILE KAULI MBIU KWAMBA BEHIND EVERY SUCCESSIFUL MAN, THERE IS A WOMAN.. !!! Sasa ukitaka kufanikiwa zaidi OA wengi..!!! UZEMBE MTUPU..
 
Utawaoaje 1000 ukiwa na hewa kichwani? Mbona mnakuja na mifano mfu.
Babu yetu Suleimani alikuwa nao elfu moja akawa tajiri hakuna mfanowe... Daudi nae walikuwa wa kutosha tu... Na wote walikuwa na mafanikio sana.
unao wataja walikuwa wafalme. walikuwa na unlimited amount of resources.. means kuhudumia hao wanawake ilikuwa issue ndogo sana.

lakin walifikaje hapo? hao wake walikuwa nao kipindi wana struggle? kipindi hawana mafanikio yoyote?
History inaonyesha hao wake waliongezeka wao wakishakuwa wamefikia mafanikio. wakiwa peak.. wakiwa ni wafalme.

Je hao wake wangekuwa nao wkt wana struggle kabla ya kuwa wafalme.. leo wangekuwa wapi?

They were smart. hawakuoa ili wafanikiwe. walioa wakiwa wameshafanikiwa tyr.
 
Kama huna akili utaweza kuoa kweli?
Oh wapo. na sizungumzii maatahira? sizungumzii vichaa waokota makopo.
Nazungumzia wale wenye akili za kawaida. lakin hawazitumii kutafauta maisha wakiamin kuwa wakioa ndio watafanikiwa.
 
Sasa wote hao wakikuwekea limbwata si kilichobaki ni kwenda Mirembe
 
Watu wengine sifaaaaa tuuu
unakuta umeandika hapa hata kuoa hujaoa????
Huo ni upotoshaji

Kuoa wanawake wengi sio maendeleo Bali kuishi katka Kristo na kuishi yale yanayoipendeza jamiii hayo ndiyo maendeleo
Hayo mangine unajitakia majukumu yasiyokua na Tija
 
Watu waoga sana, wanakimbilia kashfa, oa mke zaidi ya mmoja utakuja nishukuru.
 
Back
Top Bottom