Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,302
- 2,473
- Thread starter
- #21
Kwa kuwa we ni ke huwezi nielewa... Ndo maana umetokwa povu... Itakuwa ni mke mkubwa... Polefikra haziletwi na ongezeko la majukumu.
fikra zinaletwa na uwezo wako wa kuchanganua mambo. jinsi unavyoish na jamii. jinsi unavyoona fursa.
wengine tulifanikiwa before hata kabla ya kuoa..
na mafanikio haya kuchagizwa na wanawake.
leo hii tanzania ingekuwa na matajiri wengi sana kama kuoa watu wengi = mafanikio.
sisemi watu wasioe. waoe..
ila mafanikio hayaji kwa kuoa wake wengi. mafanikio yanakuja kwa uwezo wako mwenyewe.. kiakili.
ukiwa hewa kichwani hata ukioa wake 1000.. utabaki pale pale.