Ukioa tu mambo yanaanza kuvurugika kwenye maisha

Ukioa mawazo ya kutafuta pesa yanazidi

Akili inafunguka hpa nipo kwenye nawaza hii biashara ninotaka kuifanya saivi kwa siku nitaingiza 150k kwa mtaji wa laki 6
 
Ndoa kwa mwanaume ni Stability/familia, ila kwa mwanamke ni kusitirika/fursa. Ndiyo maana ni wanawake wachache (sana) watakupenda au ataendelea kuwa na wewe pindi unapokua hauna kitu
Ndoa ni utapeli
 
Moja ya kitu kimenishinda kwenye haya maisha ni kuoa, sijawahi kujua sijui ni kwa nini! Ndugu na jamaa wamepiga kelele mpaka wameamua kuniacha kama nilivyo.
 
Hii taasisi ipo kwenye changamoto sana kuliko taasisi zote ulimwenguni.
 
Hapo kismart safi
 
Sio kweli.
Mimi maisha yangu yamekuwa bora zaidi baada ya kuoa.
NIlifanya kazi kwa miaka 6 bila kuwa hata na kiwanja ila baada ya kuoa tu, ndani ya mwaka mmoja nikapata kiwanja na kuanza ujenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…