Ukiona ana sifa hizi kimbia mapema

kwani yeye ni mtoto
Oooh watoto hawaruhusiwi mahusianooo..anaekubali mkataba wa mahusiano fulani ya wawili basi asionyeshe dalili wala ishara wala jitihada binafsi wala tamaa yoyote wala kupitiwa na shetani kuruhusu ushawishi au upenyo au ukaribu au chombezo au kujifurahisha na mtu wa tatu ambaye anaweza kile mtu wa kwanza na wa pili mnakifanyaga[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Imagine marrying a woman who really saying this[emoji848]
 
Chakushangaza wapo wanaoshinda vibarazani wanatafuta wakuwaoa si wawaoe hao? Sasa unamkuta mtu na maisha yake Baba yake kawekeza hapo, ila anataka kumuachisha kazi, kama umekutwa kazi yako ndugu kuacha kisa huyu mliyekutana naye ukubwa? Lazima kuwa na roho ngumu sana.
 
mahusiano si vita yani ukiona mambo hayaendi bila kutumia nguvu kama ivo ujue hamna kitu apo... unalazimisha mapenzi
Hamna upendo mrahisi mrahisi, ukitaka kuhakiki tafuta mtu anaetaka mahusiano marahisi hivo nunua notebook na kalamu andika tarehe kama mkimaliza miezi mitatu yeye hajaanza mahusiano mapya zaidi yako jua huyo mtu ni malaika.
 
Na maranyingi ni wale wenye kazi mbofumbofu kabisa au hakuna kabisa au yamawazo [emoji3][emoji12][emoji12] hivyo anajua huko lazima ukamwagilie moyo ha ha ha
 
Si ndo apo. Na ndo wanashinda mitandaoni kusema mwanamke msomi mjeuri. Sasa mwanamke hujamsomesha na umemkuta ana maisha yake kwanini umpangie kwanini usingempa masharti kabla hujamuoa ili ajipime kama mnawezana
 
Nashangaaga sana yani. Na wanakazana kabisa kusema huyu mwanamke mjeuri. Oh haniskilizi. Sasa usingemuoa
 
Htaki kuingiliwa kaa kwenu. Ukienda kwa mtu lazima ufuate utaratibu wa huyo mtu. Hamtaki kaeni kwenu ili muendelee kuwa huru
Kwani ulipokua unamtongoza binti hukujua ana fanya kazi? Au ana misimamo
Flani? Kwanini umuoe ndo umuachishe kazi? Kwanini usimwambie mimi
Nakuoa ila utaacha kazi unifulie nguo nyumbani.
 
Wanawake wajinga sana wanataka waishi kibachelor ingali amekubali kuwa wawili hiyo inawezekana kwa mpumbavu tuu. Shwain zao
Sasa kama wanawake ni wajinga mnawaoa wa kazi gani? Mtafute wa darasa la saba umuweke ndani akuiniamishie kichwa kama boza
 
Umemkuta mtu ana kazi kwanini usimwambia kabla hujamuoa kuwa ukimuoa utamuachisha kazi? Unasubiri umuoe ndo umuachishe kazi na pesa humpi huwa mnawaza nini
 
Acha kudate na watoto walamba lips na wanyoa viduku
 
Umemkuta mtu ana kazi kwanini usimwambia kabla hujamuoa kuwa ukimuoa utamuachisha kazi? Unasubiri umuoe ndo umuachishe kazi na pesa humpi huwa mnawaza nini
Ishu sio kazi, shida wanawake mnashindwa kuelewa, ukiwa kazin fanya ya kazini na ukiwa nyumbani kuwa mke kwa mumeo na mama kwa watoto wako, tatizo mnaleta ukurugenz wenu hadi nyumban, hakuna mwanaume atakayekubali. Ila km unaheshimu ndoa vizuri na humvunjii heshima na bado anataka uache kazi, hao ndo wavulana sasa anataka akupelekeshe, wanaume wa hivyo ni wa ovyo na wapuuzi.
 

Pole mrembo,hatuko hivyo...
Huyo uliyekutana naye ni shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…