Ukiona Dalili hizi jua uzee ndio huo unabisha mlangoni

Yani sijuw ni Uzee au ndio Utoto Yani nikimtunuku Mwanaume anisuguwe kote kote basi siwez rudia nae tena[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Atapiga simu mpk atachoka Sina habar nae..
 
Uzee huanza ukiwa na miaka 25. Siku utakayoanza kujiona upo mpweke, basi elewa kuwa upo kwenye hatua za awali za uzee. Hivyo utajaribu kuudhibiti kwa Kuoa na kuwa na familia. Lakini utakuwa haujaudhibiti zaidi ya kuuzuga tuu.
Bado hujajua maana ya 'Uzee'...
 
Ukiwa uzee unaanza na miaka 25, Ujana unaanza lini na kuisha lini?

Nadhani uzee unaanza na miaka 40!
Na huo si uzee,huyu mleta mada anahoja nzuri ila kakosa taarifa muhimu au kazipuuza kwa makusudi...kuna utoto,ujana,utu uzima na uzee. Uzee ni miaka 60 kuendelea,chini ya hapo ni utuuzima hadi around 45. So huwezi sema mtu wa miaka 47 ni mzee. Hata miaka around 40 ni ujana bado
 
kwahivyo haya mamvi yanayowazonga ndrugo wanachuo na watu mbalimbali hapo mtaani wajione tu kwamba ni wazee vijana na sio uzee unawazonga? 🐒

Lakini pia,
tatizo la pumzi kukata round ya kwanza tu, akati hapo zamani za kale ulidumu round mpa 10 na bado unadaidai,

Je, kupungua au kuwa level kwa vichocheo vya mwili sio uzee huo?🐒


R.I.P Laigwanani comrade ENL
 
Wazee wa hovyo wapo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] yaaani mimi huwa nachanganya majina ya watoto kama sio wangu!!hiii sio uzeee!!ni kuwa busy Sana na KAZI pia kichwa kuchoka
😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…