princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Hii tabia wanayo watu wengi wenye 50+8. Kupenda kutunza vitu au vifaa stoo kifupi makorokoro ukiamini ipo siku yatapata matumizi
mwamini Yesu upate wokovu, utapata uhakika wa safari yako ya mwisho😄😄😄, Ukweli mchungu huu..., dah baada ya kufariki, sijui nitaenda mbinguni, sijui nitaenda kuzimu au nitabaki kuwa chakula cha wadudu ardhini.. 😰😰😰.
Halafu wanakuwaga wakali na makorokoro yaoHii tabia wanayo watu wengi wenye 50+
Nakumbuka mwaka majuzi nilienda home tukakuta makorokoro stoo yamesheheni, na madogo tukafanyq usafi mzee kila wakati akawa anachungulia kuangalia tusitupe vitu vyake tukamzuga kuwa tumeona nyoka mkubwa😅😅😅 akawa ametoka tukaita kirikuu visivyo na maana tukatupia kwenye gari nakumbuka lilisomba mara mbili, vikatupwa dampo aliporudi kakuta stoo nyeupe akasifia pamependeza ila kwa maumivu, alichofanya baada ya hapo akajenga godown eneo lingine tofauti na home, kajitengea na kachumba kake kakuendeleza utunzajiHalafu wanakuwaga wakali na makorokoro yao
🤣🤣🤣 yaani vituko uzee ni changamoto sana. Ila mlimweza japo mzee alichomoa ngoma drooNakumbuka mwaka majuzi nilienda home tukakuta makorokoro stoo yamesheheni, na madogo tukafanyq usafi mzee kila wakati akawa anachungulia kuangalia tusitupe vitu vyake tukamzuga kuwa tumeona nyoka mkubwa😅😅😅 akawa ametoka tukaita kirikuu visivyo na maana tukatupia kwenye gari nakumbuka lilisomba mara mbili, vikatupwa dampo aliporudi kakuta stoo nyeupe akasifia pamependeza ila kwa maumivu, alichofanya baada ya hapo akajenga godown eneo lingine tofauti na home, kajitengea na kachumba kake kakuendeleza utunzaji
mavitu ya tangu mwaka 90 huko kayashikilia tu assignment zake vitabu, typewriter za enzi ya mwalimu, tairi za baiskeli eti anatunza kamba🤣, feni mbovu nazo katunza,, nguo ndo tulimuachia nazo ni vile hatukuwa na namna ya kuzifikia🤣🤣🤣 yaani vituko uzee ni changamoto sana. Ila mlimweza japo mzee alichomoa ngoma droo
Kuna uzi humu. Jamaa alisema zaa mtoto unapokuwa 55. That kid atakuwa rafiki yako utapokuwa 60-65. Watoto wengine wote watakuwa wamejiondokea.Mkuu ikikupendeza tuletee mada ya jinsi ya kukabiliana na upweke uzeeni.
Na jamii inayokuzunguka ikikutazama inaexpect nini kutoka kwako?
Ukiona unafatwa kuombwa ushauri, usuluhisho, unaitwa kwenye kamati kamati za mtaa n.k ujue ushaingia kwenye kundi la wazee wa jamii yako.
Simple..,...Zee La Hovyo.Points nne umepatia lakini namba 2 umekosea...mi ni mzee wa miaka 50 lakini sikosi live band makumbusho, oldskool disko pale Ada Estate, hata pale Rotana kwa mzee Kisauji huwa sikosi...na napenda kulamba waigizaji wa kike.....kwenye gari langu nimefunga mziki mnene na napiga mziki wa aina zote, na nyumbani pia
Amethibitisha Nani kwamba una Akili sana?Mimi sio genius ila Nina akili nyingi sana