jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,877
- 10,214
Nimejikuta nacheka kwa sautiMkuu Mtibeli, Ulishawai kuowa na kukaa na Mwanamke hata miaka miwili hivi ukayajuwa yaliyomo?
Nimejikuta nacheka kwa sautiMkuu Mtibeli, Ulishawai kuowa na kukaa na Mwanamke hata miaka miwili hivi ukayajuwa yaliyomo?
Mtibeli katika moja na mbiliHahaha
Nilishawahi kuandika mwezi January
Thread 'Sifa za mwanaume legelege (feminine man)kwanini wanaume legelege huvutiwa kimapenzi na wanawake wababe ndani ya familia?' Sifa za mwanaume legelege (feminine man)kwanini wanaume legelege huvutiwa kimapenzi na wanawake wababe ndani ya familia?
Mkuu Mtibeli, Ulishawai kuowa na kukaa na Mwanamke hata miaka miwili hivi ukayajuwa yaliyomo?
Mtibeli yupo sawa ila kwa hili bado ni kijana mdogo sana kulizungumzia hili na kutoa hitimisho karibu pombe kwa sasa ni 24hrs broMtibeli katika moja na mbili
Utoto raha. U r just murmuring and no one see u r wrong.
Mtibeli yupo sawa ila kwa hili bado ni kijana mdogo sana kulizungumzia hili na kutoa hitimisho karibu pombe kwa sasa ni 24hrs bro
Madogo bado hamjayajua maisha omba ya sikukute bwashee. Karibu bia .
Usijali, ujinga utakuja ukutoke siku si nyingiKati ya utoto na Mwanaume aliyefeli, asiyejua mamlaka yake nani anatatizo? Ukiambiwa uchague utachagua wapi?
Wanaume watawala wanaelewa nimeandika kitu Gani.
Walioshindwa maneno Yao yatajidhihirisha kama hivi
Asante Sana Mimi natumia Keupe kwa sasa.Mtibeli yupo sawa ila kwa hili bado ni kijana mdogo sana kulizungumzia hili na kutoa hitimisho karibu pombe kwa sasa ni 24hrs bro
Unafikiria upande mmoja tu kwasababu usiku ukilala unalala ubavu ubavu.
Keupe ni kitu gani bwashee 😅😅 kuna siku niliuliza tena ukavunga😅Asante Sana Mimi natumia Keupe kwa sasa.
Mtibeli ni mwanafalsafa
Kuzaliwa Mwanaume ..... 🎶🎵
Keupe ni kitu gani bwashee 😅😅 kuna siku niliuliza tena ukavunga😅
Uanaume ni mapambano kutetea himaya Yako.
Sio kulialia.
Sasa isikie kwa mara ya kwanza kwa mtu anaekula maisha na sio kuyakata tama😅😂😂😂Hii kauli ya kutokujua Maisha zinatolewaga na watu waliokata tamaa.
Mara ya kwanza kuzisikia ni miaka 20 iliyopita
Ngoja kidogo waje wakulalamikie jinsi wake zao wanavyowapakulia chakula kidogo,kufokewa,kudekeza watoto,wanavyowaziria chakula wake zao na ngonjera nyingi zenye kuchekesha hadi kulegeza magego.
Hii nchi toka ipite corona kunakitu hakipo saw...Jitu Hela linatafuta lenyewe.
Linamtunaa mkewe.
Linatunza familia.
Bado haliheshimiwi, limekaakaa kama limelogwa au kama akili hazifanyi kazi.
Alafu linapunjwa mboga.
Haliheshimiwi
Linanuniwa nuniwa hovyo kama sehemu ya adhabu😂😂