Ukiona Familia yoyote inashida au sio strong ujue Mwanaume ndiye Mwenye matatizo. Mwanaume ndio Kafeli

Mtibeli yupo sawa ila kwa hili bado ni kijana mdogo sana kulizungumzia hili na kutoa hitimisho karibu pombe kwa sasa ni 24hrs bro

๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Wanaume wamepewa Mamlaka alafu yakiwashinda wanalalamika kama wanawake
 
Kuzaliwa Mwanaume ..... ๐ŸŽถ๐ŸŽต
 
Na tena tumekubali rais ni Ke
 
Ngoja kidogo waje wakulalamikie jinsi wake zao wanavyowapakulia chakula kidogo,kufokewa,kudekeza watoto,wanavyowaziria chakula wake zao na ngonjera nyingi zenye kuchekesha hadi kulegeza magego.

Jitu Hela linatafuta lenyewe.
Linamtunaa mkewe.
Linatunza familia.

Bado haliheshimiwi, limekaakaa kama limelogwa au kama akili hazifanyi kazi.

Alafu linapunjwa mboga.
Haliheshimiwi
Linanuniwa nuniwa hovyo kama sehemu ya adhabu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Jitu Hela linatafuta lenyewe.
Linamtunaa mkewe.
Linatunza familia.

Bado haliheshimiwi, limekaakaa kama limelogwa au kama akili hazifanyi kazi.

Alafu linapunjwa mboga.
Haliheshimiwi
Linanuniwa nuniwa hovyo kama sehemu ya adhabu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hii nchi toka ipite corona kunakitu hakipo saw...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ