Ukiona Familia yoyote inashida au sio strong ujue Mwanaume ndiye Mwenye matatizo. Mwanaume ndio Kafeli

Hamjambo Wote!

Mwanaume were ndiye Mfalme, ndiye Rais, ndiye Mtawala wa Familia yako.
Chochote kitakachotokea kwenye Familia yako wewe ndio mtu wa Kwanza kuwa responsible, na lawama zote zipo Kwako.

Mkeo kutokuwa na adabu, shida ni wewe.
Mkeo kuvaa mavazi ya hovyo, shida ni wewe.
Watoto kutokuwa na Adabu, shida ni were.
Familia kukosa chakula, mavazi, na maisha mazuri, shida ni wewe!

Ni kwamba hujui kutawala, kuna sehemu umeboronga, umefeli, umeshindwa.

Moja ya sababu ya wanaume wengi Kufa Mapema ni pamoja na Kushindwa kutawala himaya yake.
Unakuwa under stress. Umefeli! Mwanaume aliyefeli!
Mfalme aliyeshindwa kutawala miliki yake.

Mungu amekupa Nguvu kuliko mkeo.
Mungu amekupa Akili kuliko Mkeo.
Mungu akakupa utisho kuliko Mkeo.
Yaani mkeo alichokuzidi ni uzuri na urembo tuu ili akufurahishe.
Alafu Leo ushindwe kutawala.

Ukitaka kujua mwenye Makosa ni wewe.
Kwanza, wewe ndiye unatafuta na kuchagua msaidizi wa kukusaidia katika utawala wako.
Hivyo kukosea kuchagua ni dalili ya Kwanza kuwa haukuwa Makini, na hukumwomba Mungu.

Sawa, umeshakosea kuchagua, lakini kushindwa kufanya maamuzi ya kumtengua msaidizi wako utafute mwingine atakayefit ni kiashiria kuwa wewe sio tuu haupo makini Bali pia huna sifa za Watawala, wafalme, Rais.
Kwenye himaya, mfalme ukishaona msaidizi wako hafuati maelekezo yako hutakiwi kufikiri fikiri chakufanya unapiga chini.

Sasa mwanaume mzima kutwa kulalamika oooh! Wanawake wanatesa, wanatesa wanaume wapumbavu.
Yaani msaidizi amsumbue Rais au Mfalme. Kweli?

Sheria ni Moja kwenye utawala.
Lazima msaidizi amtii mtawala. Kama hataki tengua. Tafuta mwingine.

Mwanamke anakupangia ratiba za kukupa mchezo. Ulivyo lijinga na dhaifu unabung'aa bung'aa kama kondoo. Hivi unaelewa maana ya Mwanaume, Mume, Baba. Unaelewa hayo maneno na role zake?

Au mwanamke unayemlisha, unayemuongoza, unayemtawala ati anakupangia pangia vitu kijingajinga, au anakujibu kunyakunya. Kweli?
Huo ni ushoga.

Ukishakuwa mtawala lazima order zako zifuatwe kwa vyovyote iwe kwa diplomasia au kimabavu.
Kama unaona mabavu yatakutia matatizoni tengua, tafuta msichana mwingine mdogo, mbichi kabisa, wamejaa. Kuliko kuwa mwanaume dhaifu.

Mkeo lazima aongee kwa adabu mbele yako. Hiyo hakuna demokrasia.
Iwe umepatia au umekosea. Lazima awe na adabu.

Hakuna kughafilika, sijui amekasirika sijui mihemko, hakuna cha mihemko kwenye utawala.
Ukihemka unawajibishwa!

Ati wanawake hawana adabu. Wanawake wapi! Sijawahi kuona hao wanawake.
Ila nimeona wanaume waoga, wasiojiamini, wasiojua nafasi zao.

Wanaume wanaobembeleza ndoa na mahusiano kama wanawake.
Ati mwanaume anamwambia mkewe arudi nyumbani baada ya mkewe kuondoka kwao tena kwa makosa yake mwenyewe. Mke kakosea na bado anakutisha anaondoka. Kweli?

Jinsi unavyoona serikali inavyoendeshwa ndivyo hivyohivyo tawala za kifamilia zipo hivyo.

Ukimuendekeza mkeo au wanawake watakupanda kichwani.
Ukishindwa kumtawala mkeo hata watoto wako hutowaweza.

Acha nipumzike!

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Usemayo ni kweli,lkn punguza ukali wa maneno mkuu ili ujumbe wako ujikite katika nyoyo za walengwa na iwe tiba kwao,kama wana maradhi hayo..
 
Umegeneralize sana. Kwa sehemu kubwa familia hufeli Kwa mwanaume kushindwa kusimamia imara.

Exceptions zipo we hujakutana na kidudu mtu! Unaacha elfu 50 asubuhi jioni haipo na kilichopikwa ni wali maharage! Ukiuliza anaanza kurusha makombora hovyo!
 
Hamjambo Wote!

Mwanaume were ndiye Mfalme, ndiye Rais, ndiye Mtawala wa Familia yako.
Chochote kitakachotokea kwenye Familia yako wewe ndio mtu wa Kwanza kuwa responsible, na lawama zote zipo Kwako.

Mkeo kutokuwa na adabu, shida ni wewe.
Mkeo kuvaa mavazi ya hovyo, shida ni wewe.
Watoto kutokuwa na Adabu, shida ni were.
Familia kukosa chakula, mavazi, na maisha mazuri, shida ni wewe!

Ni kwamba hujui kutawala, kuna sehemu umeboronga, umefeli, umeshindwa.

Moja ya sababu ya wanaume wengi Kufa Mapema ni pamoja na Kushindwa kutawala himaya yake.
Unakuwa under stress. Umefeli! Mwanaume aliyefeli!
Mfalme aliyeshindwa kutawala miliki yake.

Mungu amekupa Nguvu kuliko mkeo.
Mungu amekupa Akili kuliko Mkeo.
Mungu akakupa utisho kuliko Mkeo.
Yaani mkeo alichokuzidi ni uzuri na urembo tuu ili akufurahishe.
Alafu Leo ushindwe kutawala.

Ukitaka kujua mwenye Makosa ni wewe.
Kwanza, wewe ndiye unatafuta na kuchagua msaidizi wa kukusaidia katika utawala wako.
Hivyo kukosea kuchagua ni dalili ya Kwanza kuwa haukuwa Makini, na hukumwomba Mungu.

Sawa, umeshakosea kuchagua, lakini kushindwa kufanya maamuzi ya kumtengua msaidizi wako utafute mwingine atakayefit ni kiashiria kuwa wewe sio tuu haupo makini Bali pia huna sifa za Watawala, wafalme, Rais.
Kwenye himaya, mfalme ukishaona msaidizi wako hafuati maelekezo yako hutakiwi kufikiri fikiri chakufanya unapiga chini.

Sasa mwanaume mzima kutwa kulalamika oooh! Wanawake wanatesa, wanatesa wanaume wapumbavu.
Yaani msaidizi amsumbue Rais au Mfalme. Kweli?

Sheria ni Moja kwenye utawala.
Lazima msaidizi amtii mtawala. Kama hataki tengua. Tafuta mwingine.

Mwanamke anakupangia ratiba za kukupa mchezo. Ulivyo lijinga na dhaifu unabung'aa bung'aa kama kondoo. Hivi unaelewa maana ya Mwanaume, Mume, Baba. Unaelewa hayo maneno na role zake?

Au mwanamke unayemlisha, unayemuongoza, unayemtawala ati anakupangia pangia vitu kijingajinga, au anakujibu kunyakunya. Kweli?
Huo ni ushoga.

Ukishakuwa mtawala lazima order zako zifuatwe kwa vyovyote iwe kwa diplomasia au kimabavu.
Kama unaona mabavu yatakutia matatizoni tengua, tafuta msichana mwingine mdogo, mbichi kabisa, wamejaa. Kuliko kuwa mwanaume dhaifu.

Mkeo lazima aongee kwa adabu mbele yako. Hiyo hakuna demokrasia.
Iwe umepatia au umekosea. Lazima awe na adabu.

Hakuna kughafilika, sijui amekasirika sijui mihemko, hakuna cha mihemko kwenye utawala.
Ukihemka unawajibishwa!

Ati wanawake hawana adabu. Wanawake wapi! Sijawahi kuona hao wanawake.
Ila nimeona wanaume waoga, wasiojiamini, wasiojua nafasi zao.

Wanaume wanaobembeleza ndoa na mahusiano kama wanawake.
Ati mwanaume anamwambia mkewe arudi nyumbani baada ya mkewe kuondoka kwao tena kwa makosa yake mwenyewe. Mke kakosea na bado anakutisha anaondoka. Kweli?

Jinsi unavyoona serikali inavyoendeshwa ndivyo hivyohivyo tawala za kifamilia zipo hivyo.

Ukimuendekeza mkeo au wanawake watakupanda kichwani.
Ukishindwa kumtawala mkeo hata watoto wako hutowaweza.

Acha nipumzike!

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam

Mwanamke anakupangia ratiba za kukupa mchezo. Ulivyo lijinga na dhaifu unabung'aa bung'aa kama kondoo. Hivi unaelewa maana ya Mwanaume, Mume, Baba. Unaelewa hayo maneno na role zake?

Kuna NDOA na FAMILIA

Mkuu wa NDOA ni mke na mkuu wa familia ni mume

NDOA ni Tendo la NDOA na mkuu katika kitengo hichi cha sirini ni mke i.e mambo yote ya mahaba yaani sirini kiongozi wake inabidi awe mke na sio mume na utaona tofauti katika kizazi cha sasa Kwamba ........👉Mume ndiye anaeendesha NDOA na mke ndiye anaeendesha familia na hiyo ndiyo sababu kwanini NDOA nyingi sivunjika kwasababu watu wanafanya mambo ambayo yapo nje ya uwezo wao

Mke mwenye hekima anafahamu wajibu ulio ndani ya nafasi aliyopewa kuisimamia 👉 NDOA hivyo hasubili kuombwa na mume wake Tendo la NDOA Bali atahakikisha kila wakati kila siku akiwa katika afya njema anamshibisha mume wake na huyu mume kamwe hatotamani nje kwani ameshiba

Sasa cha kushangaza wanawake wa sasa wanadai kufikishwa.....🙆🏻‍♂️ Maana yake nini? mwanaume ndiye atake control kwenye kitengo cha tendo la ndoa kitu ambacho ni very dangerous na Haiwezekani B'se it's a nature position

Kwa kadri technologia inavyokuwa na kurahisisha mambo ya maisha ndivyo maisha yanavyozidi kukaa mbali na watu wa kizazi cha sasa i.e wanakinzana na nature
 
afadhali kukaa kwenye kona darini kuliko kukaa nyumba moja pamoja na mwanamke PASUA KICHWA..

mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake familia yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Attachments

  • images - 2025-07-05T210150.145.jpeg
    images - 2025-07-05T210150.145.jpeg
    16.3 KB · Views: 21
  • images - 2025-07-05T210247.555.jpeg
    images - 2025-07-05T210247.555.jpeg
    54.6 KB · Views: 21
  • images - 2025-07-05T210231.124.jpeg
    images - 2025-07-05T210231.124.jpeg
    28.6 KB · Views: 20
  • images - 2025-07-05T210215.462.jpeg
    images - 2025-07-05T210215.462.jpeg
    42.3 KB · Views: 23
Back
Top Bottom