Ukiona Familia yoyote inashida au sio strong ujue Mwanaume ndiye Mwenye matatizo. Mwanaume ndio Kafeli

Mambo ni mengi kwenye maisha bro usichukulie poa kabisa

Kwenye utawala no excuse.
Mambo hata yawe mengi ni jukumu lako kama mtawala kukabiliana nayo. Huo ndio uanaume.
No excuse!

Ndio maana ukaambiwa kutawala Dunia kisha kumtawala Mwanamke

Hakuna utawala bila mambo mengi.
Utawala maana yake kutiisha
 
Vijana wa sasa kabla ya kuingia kwenye ndoa yawapasa kuishi na wanawake kinyumba anfalau miaka miwili,jumla miaka 4.Kisha ndo muoe.Ukiweza unapiga mashine ila unamwaga njee usizae hovyo hapo uko field😀 baada ya hapo oa sasa kamwe wanawake hawatakusumbua.

📌chukueni mbinu hiyo.

Unaweza kuipractise ukiwa chuoni au kipindi unajimake.

Nb:Huyo mwanamke akiwa vizuri anakidhi vigezo na masharti OA mara baada ya muda wa matazamio ambayo ni miaka miwili kuisha.Hapo utaenjoy ndoa.

Watakataliwa. Na hawajui chakufanya
 
Kwenye utawala no excuse.
Mambo hata yawe mengi ni jukumu lako kama mtawala kukabiliana nayo. Huo ndio uanaume.
No excuse!

Ndio maana ukaambiwa kutawala Dunia kisha kumtawala Mwanamke

Hakuna utawala bila mambo mengi.
Utawala maana yake kutiisha
Tunatawala kibabe ila mwisho wasiku unakuta unatawala pesa na watoto wako tu , mwanamke ni mama yako bwashee
 
Ukiwa Mfalme au mtawala hakuna option ya kujitoa fahamu au uwe mjinga.
Kwenye Leadership Skills na utawala hakunaga kitu kama hicho.

Ni aidha Do or Die!
Kuvumilia ujinga hasa Kwa Baba ndio kumefikisha jamii hapa ilipo.

Mtawala ana options kutumia akili au mabavu ku-maintain Order na regulations
SIMPS a.k.a WANAUME MABWEGE watakuja na vingereza na maneno ya shombo na experience zao za kukesha baa kukimbia nyumba zao zisizokalika.Ila ukweli ni kuwa wanaume wengi baada ya mambo ya JANDO kutokupewa kipaumbele wanashindwa kutawala nyumba zao.

Kosa kubwa ni kumuacha mtawaliwa atawale,kimbembe atakiona mtawala.

Ifahamike wazi mwanamke anapenda kutawaliwa,anapenda aone mwanaume unakoromakoroma humo ndani,anapenda kuona unakemea kemea vitu visipoenda vizuri.Anaweza akawa anaonyesha kuchukizwa kwa nje ila jua kwa ndani anakukubali balaa.Kosa kubwa wanalofanya maSIMP ni kutaka kumfurahisha mwanamke usoni wakati mwenzie anamchora.

Mwanamke ni kiumbe mnafiki kuliko wote hapa duniani.Ni heri usimamie msimamo wako kuliko kumsikiliza.

Utachepuka utafanya kila ushenzi atasamehe.Ila hawezi kusamehe wewe kuonyesha udhaifu wa kushindwa kumtawala.📌📌📌
 
Usingekua na matusi ningekujibu
 
Watu wanaleta Dini kwenye Utawala wa Familia.
Ooh! Ukristo hakuna kuachana.
Jitu kama halifuati amri, sheria na mifumo ya himaya Yako hakuna Cha dini Wala tamaduni Wala mapokeo. Hapo ni kutengua tuu
Hawa wendawazimu wa dini mimi huwa nawashangaa sana.Hivi mtu hata tu kwa kutumia akili ya kawaida unashindwaje kuona mbona ukiristo huohuo kupitia papa wa Vatcan wameamend sheria na kuaccomodate USHOGA.

📌Hawa manyumbu waendelee kuendeshwa tu na wake zao akili hawana.
 
Moja sababu ya kuitwa mkorofi kwenye mapenzi ni kukataa kusumbuliwa na mwanamke na kubembeleza kama vile napata hela.
Tumekuwa na generation ya wanaume dhaifu kwa kisingizio cha gentleman
 
Unaacha kupambana kutafuta pesa unapambana kumtuliza mwanamke aliyeamua kukupelekesha
 
Hawa wendawazimu wa dini mimi huwa nawashangaa sana.Hivi mtu hata tu kwa kutumia akili ya kawaida unashindwaje kuona mbona ukiristo huohuo kupitia papa wa Vatcan wameamend sheria na kuaccomodate USHOGA.

📌Hawa manyumbu waendelee kuendeshwa tu na wake zao akili hawana.

Hatari Sana
 
Back
Top Bottom