Ukiona Familia yoyote inashida au sio strong ujue Mwanaume ndiye Mwenye matatizo. Mwanaume ndio Kafeli

Usemayo ni kweli,lkn punguza ukali wa maneno mkuu ili ujumbe wako ujikite katika nyoyo za walengwa na iwe tiba kwao,kama wana maradhi hayo..
 
Umegeneralize sana. Kwa sehemu kubwa familia hufeli Kwa mwanaume kushindwa kusimamia imara.

Exceptions zipo we hujakutana na kidudu mtu! Unaacha elfu 50 asubuhi jioni haipo na kilichopikwa ni wali maharage! Ukiuliza anaanza kurusha makombora hovyo!
 


Mwanamke anakupangia ratiba za kukupa mchezo. Ulivyo lijinga na dhaifu unabung'aa bung'aa kama kondoo. Hivi unaelewa maana ya Mwanaume, Mume, Baba. Unaelewa hayo maneno na role zake?


Kuna NDOA na FAMILIA


Mkuu wa NDOA ni mke na mkuu wa familia ni mume


NDOA ni Tendo la NDOA na mkuu katika kitengo hichi cha sirini ni mke i.e mambo yote ya mahaba yaani sirini kiongozi wake inabidi awe mke na sio mume na utaona tofauti katika kizazi cha sasa Kwamba ........πŸ‘‰Mume ndiye anaeendesha NDOA na mke ndiye anaeendesha familia na hiyo ndiyo sababu kwanini NDOA nyingi sivunjika kwasababu watu wanafanya mambo ambayo yapo nje ya uwezo wao


Mke mwenye hekima anafahamu wajibu ulio ndani ya nafasi aliyopewa kuisimamia πŸ‘‰ NDOA hivyo hasubili kuombwa na mume wake Tendo la NDOA Bali atahakikisha kila wakati kila siku akiwa katika afya njema anamshibisha mume wake na huyu mume kamwe hatotamani nje kwani ameshiba


Sasa cha kushangaza wanawake wa sasa wanadai kufikishwa.....πŸ™†πŸ»β€β™‚οΈ Maana yake nini? mwanaume ndiye atake control kwenye kitengo cha tendo la ndoa kitu ambacho ni very dangerous na Haiwezekani B'se it's a nature position


Kwa kadri technologia inavyokuwa na kurahisisha mambo ya maisha ndivyo maisha yanavyozidi kukaa mbali na watu wa kizazi cha sasa i.e wanakinzana na nature
 
afadhali kukaa kwenye kona darini kuliko kukaa nyumba moja pamoja na mwanamke PASUA KICHWA..

mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake familia yake kwa mikono yake mwenyewe.
 

Attachments

  • images - 2025-07-05T210150.145.jpeg
    16.3 KB · Views: 21
  • images - 2025-07-05T210247.555.jpeg
    54.6 KB · Views: 21
  • images - 2025-07-05T210231.124.jpeg
    28.6 KB · Views: 20
  • images - 2025-07-05T210215.462.jpeg
    42.3 KB · Views: 23
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…