You must be insane!For sure Lumumba,,mtu yeyote mwenye mawazo ya kijamaa kwangu ni halali kuchinjiwa mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You must be insane!For sure Lumumba,,mtu yeyote mwenye mawazo ya kijamaa kwangu ni halali kuchinjiwa mbali
Mugabe aliitumia vibaya elimu yake kuibomoa nchi yake.Aliwapokonya mashamba wananchi wake wenye uwezo wa kulima kisasa kwa kutumia mashine akawapa maswaiba zake wasioweza kulima hata kwa jembe la mkono,wakayaua mashamba uchumi ukafa.Kumbe na wewe mjinga kama baba yako! Muda wote waingereza walikuwa wanasuasua kutimiza makubaliano kwani walidharau walifikiri kuwa serikali ya Zimbabwe ilikuwa haina options mpaka pale mashamba yalipotaifishwa !!
Umeelewa wewe mpumbavu.
Insane ni wewe sio mimi.You must be insane!
Aliwapokonya ardhi wazungu/waingereza na kuwapa wananchi wazawa! Hilo halikuwa kosa. Ilitakiwa hao wazawa wa tayarishwe kuyahudumia hayo mashamba kitu ambacho haki kufanyika na kusababisha zoezi kutofaulu! Nia ilikuwa njema implementation ndio ilikuwa tatizo.Mugabe aliitumia vibaya elimu yake kuibomoa nchi yake.Aliwapokonya mashamba wananchi wake wenye uwezo wa kulima kisasa kwa kutumia mashine akawapa maswaiba zake wasioweza kulima hata kwa jembe la mkono,wakayaua mashamba uchumi ukafa.
Aliwapokonya ardhi wazungu/waingereza na kuwapa wananchi wazawa! Hilo halikuwa kosa. Ilitakiwa hao wazawa wa tayarishwe kuyahudumia hayo mashamba kitu ambacho haki kufanyika na kusababisha zoezi kutofaulu! Nia ilikuwa njema implementation ndio ilikuwa tatizo.
Wazungu wa Zimbabwe walikuwa na Dual citizenship na ndio maana wengi wali rudi Uingereza!Raia wa Uingereza anamiliki vipi passport ya zimbabwe?.Wale ni raia halali wa zimbabwe,ndio waliochangia uchumi wa zimbabwe na kulisha nchi za kusini Mwa afrika hadi Tanzania kwa chakula.
Walilima walileta pesa zimbabwe na sio kupeleka Uingereza thus baada ya kuporwa mashamba uchumi wa zimbabwe ukafa na sio uchumi wa Uingereza.
Mugabe ni SAwa tu na wapigania UHURU wengine tu walipigania UHURU wao binafsi na sio UHURU wa waafrika wote thus baada ya UHURU wakawa hovyo zaidi kuliko hata wakoloni wenyewe.
Lakini walilima kwa manufaa ya zimbabwe na sio kwa manufaa ya Uingereza.Wazungu wa Zimbabwe walikuwa na Dual citizenship na ndio maana wengi wali rudi Uingereza!
Kweli walikuwa wakulima stadi; pia kulikuwa na British absentee landlords in Zimbabwe waliomilika ardhi kubwa!
Hoja hapa ni kwamba kuwapa yale mashamba wazawa ilikuwa sahihi kwani Hawa wazungu walitwaa hiyo ardhi kimabavu na ndio maana wenye nchi wakabakia vibarua na sio waajiri!! Kwahio unataka Daima wazimbabwe wabakie vibarua hiyo unayoiota ajira ?Lakini walilima kwa manufaa ya zimbabwe na sio kwa manufaa ya Uingereza.
.Walitoa ajira kwa wazimbabwe
.Walilipa kodi zimbabwe
.Walinunua mafuta, vifaa na mashine zimbabwe
.Walilisha zimbabwe.
Bado mantiki ya kuwapokonya watu ardhi wenye kumudu kuzalisha haikuwa sahihi.
Mfano sisi mapori tele yamejaa yatatusaidia nini sisi kwann yasichukuliwe na wenye kumudu Ili wengi wapate ajira.
Chadema ya Lissu na Lema, wako nje ya nchi kwa miaka sasaMobutu Sese seko aliwasahau kabisa waafrika wenzake wa Zaire sasa DRC.
Rasilimali za taifa lake akazitumia kwa ajili ya tumbo lake na mabeberu. Mbaya zaidi hata kifo cha Patrice Lumumba alishiriki ili mradi tu mabeberu wamtumie kuwanyonya waafrika wenzake.
Afrika ina bahati mbaya sana. Kila anapoibuka Kiongozi kama Patrice Lumumba lazima akina Mobutu Sese seko wanajitokeza na kufanya yao ili washirikiane na Mabeberu.
Ipo mifano mingi tu kwa Afrika. Watanzania tukodoe macho.
Wale ni wazimbabwe wenye asili ya ulaya, wengine wamezaliwa zimbabwe kwa wazazi wenye asili ya Ulaya.Hata hapa Tanzania tunao wazungu wanamiliki pasipoti za Tanzania ambao waliozaliwa Tanzania mfano mmoja wao ni Richard Mabala wa kitabu cha animal farm,na mabara the farmers.Hoja hapa ni kwamba kuwapa yale mashamba wazawa ilikuwa sahihi kwani Hawa wazungu walitwaa hiyo ardhi kimabavu na ndio maana wenye nchi wakabakia vibarua na sio waajiri!! Kwahio unataka Daima wazimbabwe wabakie vibarua hiyo unayoiota ajira ?
Hivyo hivyo unataka waarabu waje wapewe ardhi walime na watu wetu wawe vibarua sio? Kwanini tusiwawezeshe wananchi wetu ili walime hayo mapori. Vijana wetu wanahangaika hawana ajira na mapori yapo lakini mnataka wageni waje ndio muwape hayo mapori; what is your motivation? Getting 10% from the Arabs?