Ukiona mfanyakazi anamiliki vitu havilingani na mshahara wake hiyo ni Red flag

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,148
Reaction score
2,815
Ukiona mfanyakazi wako anamiliki vitu havilingani na mshahara unaomlipa lazima upate wasiwasi , mfano haiingii akilini kwa mtu anayelipwa laki 3 halafu ananunua Gari la milioni 60 , au anaishi maisha yanayozidi mshahara wake. Waajiri kuweni makini hizo ni Red flag za kupigwa
 
Ukiona mfanyakazi wako anamiliki vitu havilingani na mshahara unaomlipa lazima upate wac wac , mfano haiingii akilini kwa mtu anayelipwa laki 3 halafu ananunua Gari la milioni 60 , au anaishi maisha yanayozidi mshahara wake . Waajiri kuweni makini hizo ni Red flag za kupigwa
Sasa lengo la kazi ni Nini? Ili umchunguze mfanyakazi wako maendeleo yake? Boss mzuri unapaswa utamani mafanikio ya watu wako maana kufanikiwa kwao ni mafanikio zaidi kwako.

Tamaa za wizi mara nyingi zinatokana na kutowapa stahiki zao Kwa wakati na wanapokua hapo motivated. Maboss wajifunze uongozi bora
 
Ushakariri kila mtu anaishi kwa kutegemea mshahara tu.

Kuna watu pamoja na ajira wana side hustles zao zinazolipa vizuri, kuna wanaotokea familia bora ambao pamoja na ajira zao bado wanpewa ziada.

Ikiwa huna losses zozote kwenye kampuni yako, hupaswi kujali nini anamiliki mfanyakazi wako. kutoweza kwako kuishi/kumiliki vizuri kusiwe sababu ya kuweka ghilba kwa wengine.
 
Mshahara wa M3, mke ana miradi yake, nikitoka kazini hujui naenda wapi, kabla ya kupata hiyo kazi hujui nlikuwa nafanya kazi gani, huwafahamu vzur ndugu zangu, huelewi hilo gari nimenunua kiasi gani na kwa namna gani.
Cha msingi Boss uangalie utendaji wa kazi kama ni mzuri au ni mbaya
#Wivu na kazi haviendani kabisa
 
Ushakariri kila mtu anaishi kwa kutegemea mshahara tu.

Kuna watu pamoja na ajira wana side hustles zao zinazolipa vizuri, kuna wanaotokea familia bora ambao pamoja na ajira zao bado wanpewa ziada.

Ikiwa huna losses zozote kwenye kampuni yako, hupaswi kujali nini anamiliki mfanyakazi wako. kutoweza kwako kuishi/kumiliki vizuri kusiwe sababu ya kuweka ghilba kwa wengine.
Wac wac ndo akili
 
Lifestyle audit ikipitishwa kwa watumishi wa umma ni wachache sana watafaulu
 
Siyo wote wanategemea mishahara ,wengine wana mambo yao kibao huko mtaani ,kuna mikopo kibao.
 
Ukiona mfanyakazi wako anamiliki vitu havilingani na mshahara unaomlipa lazima upate wac wac , mfano haiingii akilini kwa mtu anayelipwa laki 3 halafu ananunua Gari la milioni 60 , au anaishi maisha yanayozidi mshahara wake . Waajiri kuweni makini hizo ni Red flag za kupigwa
mawazo ya kifakeni sana
 
Nishawai kuingia matatizoni kwa Mambo Kama haya kisa nilikuaga namkopesha hela boss wangu na wafanya kazi wenzangu wakiwa na shida. Ofisi wakaniwekea kikao.
 
Ukiona mfanyakazi wako anamiliki vitu havilingani na mshahara unaomlipa lazima upate wac wac , mfano haiingii akilini kwa mtu anayelipwa laki 3 halafu ananunua Gari la milioni 60 , au anaishi maisha yanayozidi mshahara wake . Waajiri kuweni makini hizo ni Red flag za kupigwa
The end justifies the means...!
 
Back
Top Bottom