Ukiona mfanyakazi anamiliki vitu havilingani na mshahara wake hiyo ni Red flag

Ukiona mfanyakazi anamiliki vitu havilingani na mshahara wake hiyo ni Red flag

Yaani una ukwasi wa mabilioni halafu unaishi kama digidigi kisa ajira ambayo haikupi hata kipato cha kujenga nyumba ya maana bila kuonekana mwizi?
Jamani mnapotunga hizi stori muwe mnapima uhalisia.
Nikutungie story nakujua ndugu
 
Watu wanakopa Jamani,au wana ndugu zao wanawasaidia, nafanya kazi ya Pesa ndogo lakini wazazi wananipa Gari na pesa. Nakataaje?
Cha msingi usiende na Show Off kazini

fitna na uchawi vitakuzonga

mwisho wa siku utaacha kazi mwenyewe au utatengenezewa zengwe utafukuzwa
 
Masanja yupo efm lakini naendesha mav8 nae Huyu vipi? Ya gharama kuliko boss wake majizo
kiukweli kazi wakati mwingine ni kijiwe cha kuzugia ndo maana unaweza usipewe mshahara hata miezi mitatu au mwaka na bado ukaenda kazini.
 
Back
Top Bottom