Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Sasa lengo la kazi ni Nini? Ili umchunguze mfanyakazi wako maendeleo yake? Boss mzuri unapaswa utamani mafanikio ya watu wako maana kufanikiwa kwao ni mafanikio zaidi kwako.Ukiona mfanyakazi wako anamiliki vitu havilingani na mshahara unaomlipa lazima upate wac wac , mfano haiingii akilini kwa mtu anayelipwa laki 3 halafu ananunua Gari la milioni 60 , au anaishi maisha yanayozidi mshahara wake . Waajiri kuweni makini hizo ni Red flag za kupigwa
Mbona mnawatetea sana inamaana wapigaji hawapo ?Watu wanakopa Jamani,au wana ndugu zao wanawasaidia, nafanya kazi ya Pesa ndogo lakini wazazi wananipa Gari na pesa. Nakataaje?
Wac wac ndo akiliUshakariri kila mtu anaishi kwa kutegemea mshahara tu.
Kuna watu pamoja na ajira wana side hustles zao zinazolipa vizuri, kuna wanaotokea familia bora ambao pamoja na ajira zao bado wanpewa ziada.
Ikiwa huna losses zozote kwenye kampuni yako, hupaswi kujali nini anamiliki mfanyakazi wako. kutoweza kwako kuishi/kumiliki vizuri kusiwe sababu ya kuweka ghilba kwa wengine.
Umezoea kuiba eeehhhNDio maana maboss njaa hamfanikiwagi,.
Uchawi mwingi
Kabisa ... kipato hakilingani na matumiziLifestyle audit ikipitishwa kwa watumishi wa umma ni wachache sana watafaulu
mawazo ya kifakeni sanaUkiona mfanyakazi wako anamiliki vitu havilingani na mshahara unaomlipa lazima upate wac wac , mfano haiingii akilini kwa mtu anayelipwa laki 3 halafu ananunua Gari la milioni 60 , au anaishi maisha yanayozidi mshahara wake . Waajiri kuweni makini hizo ni Red flag za kupigwa
Kuanzia Rais mkuuLifestyle audit ikipitishwa kwa watumishi wa umma ni wachache sana watafaulu
Abdul leo hii tunaambiwa ni bilionea sababu ni mfanyabiashara mkubwa.Kuanzia Rais mkuu
The end justifies the means...!Ukiona mfanyakazi wako anamiliki vitu havilingani na mshahara unaomlipa lazima upate wac wac , mfano haiingii akilini kwa mtu anayelipwa laki 3 halafu ananunua Gari la milioni 60 , au anaishi maisha yanayozidi mshahara wake . Waajiri kuweni makini hizo ni Red flag za kupigwa