M Manzile JF-Expert Member Joined Apr 23, 2020 Posts 701 Reaction score 1,900 Jan 20, 2025 #61 RRONDO said: Yaani una ukwasi wa mabilioni halafu unaishi kama digidigi kisa ajira ambayo haikupi hata kipato cha kujenga nyumba ya maana bila kuonekana mwizi? Jamani mnapotunga hizi stori muwe mnapima uhalisia. Click to expand... Nikutungie story nakujua ndugu
RRONDO said: Yaani una ukwasi wa mabilioni halafu unaishi kama digidigi kisa ajira ambayo haikupi hata kipato cha kujenga nyumba ya maana bila kuonekana mwizi? Jamani mnapotunga hizi stori muwe mnapima uhalisia. Click to expand... Nikutungie story nakujua ndugu
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 86,410 Reaction score 169,862 Jan 20, 2025 #62 Bro Evelyn Salt wewe huwa unaiba nini?
Bijang JF-Expert Member Joined Oct 13, 2016 Posts 368 Reaction score 724 Jan 20, 2025 #63 Dalili nyingine ya uchaw ni hii
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jan 21, 2025 #64 Atoto said: Bro Evelyn Salt wewe huwa unaiba nini? Click to expand... Chaki bro, nimeiba chaki hadi nkanunua gari...
Atoto said: Bro Evelyn Salt wewe huwa unaiba nini? Click to expand... Chaki bro, nimeiba chaki hadi nkanunua gari...
Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Jan 21, 2025 #65 realMamy said: Watu wanakopa Jamani,au wana ndugu zao wanawasaidia, nafanya kazi ya Pesa ndogo lakini wazazi wananipa Gari na pesa. Nakataaje? Click to expand... Cha msingi usiende na Show Off kazini fitna na uchawi vitakuzonga mwisho wa siku utaacha kazi mwenyewe au utatengenezewa zengwe utafukuzwa
realMamy said: Watu wanakopa Jamani,au wana ndugu zao wanawasaidia, nafanya kazi ya Pesa ndogo lakini wazazi wananipa Gari na pesa. Nakataaje? Click to expand... Cha msingi usiende na Show Off kazini fitna na uchawi vitakuzonga mwisho wa siku utaacha kazi mwenyewe au utatengenezewa zengwe utafukuzwa
Chiwa JF-Expert Member Joined Apr 17, 2008 Posts 4,116 Reaction score 4,979 Jan 21, 2025 #66 Bolotoba said: Masanja yupo efm lakini naendesha mav8 nae Huyu vipi? Ya gharama kuliko boss wake majizo Click to expand... kiukweli kazi wakati mwingine ni kijiwe cha kuzugia ndo maana unaweza usipewe mshahara hata miezi mitatu au mwaka na bado ukaenda kazini.
Bolotoba said: Masanja yupo efm lakini naendesha mav8 nae Huyu vipi? Ya gharama kuliko boss wake majizo Click to expand... kiukweli kazi wakati mwingine ni kijiwe cha kuzugia ndo maana unaweza usipewe mshahara hata miezi mitatu au mwaka na bado ukaenda kazini.