Ukiona mpenzi wako anakuharakisha sana akupe utamu ujue ni sababu ya moja ya mambo haya

Ukiona mpenzi wako anakuharakisha sana akupe utamu ujue ni sababu ya moja ya mambo haya

Yashawahi kunikuta hivi....................

Ina maana nilikuwa naandaliwa pigo?
 
Kuna pisi moja imesimama kweli, nilipiga sound ikagoma namimi nikakubali kweli sio level zangu.

Siku nashangaa imenichek inajilegeza kweli ikaniambia njoo, wakati mwanzo ilisema haiingizagi wanaume kwake.

Mimi kama jadi nikabeba zana zangu nkatimba, toka siku ile akapotea nakuja kusikia ana mimba nikasema iiiii
Huo ndio ubaharia sasa tunaosema😅😅
 
Kuishi kwingi kuona mengi. Siku hizi ukiona Mwanamke wako ana kuharakisha na kuku- tamanisha sana kwa maneno matamu eti ana nyege sana au ana hamu sana na wewe ujue kuna mtego unataka kupigwa.

Mara nyingi huwa amefuria na anajua ukienda hutakosa kuacha chochote mfukoni.

Kubwa zaidi kuw amakini usiachiwe mimba isiyo yako.

Hata kama umesafiri atakwambia uwahi kurudi au kama hutorudi basi yeye akufate.

Huku akijua tarehe zinasonga na kwamba huenda Calander unazomla zikapishana na alizoliwa na mshakaji ndivyo presha inazidi kupanda.

Sasa kama ni demu mpya boya ataanza kujidai kuwa demu kamzimikia.....kalagha bahooo!!!

Weekendi njema
pole sana mkuu naona umepigwa na kitu cha tan5
 
Fomula ni kuzuia wazungu na beki 10 yaani ndomu!,ili usije ukasingiziwa panya road ni wako!akisema ndomu ilupasuka hapo sana inabidi mgawane majengo ya serikali [emoji851]
😅😅😅😅
 
Kuishi kwingi kuona mengi. Siku hizi ukiona mwanamke wako anakuharakisha na kukutamanisha sana kwa maneno matamu eti ana nyege sana au ana hamu sana na wewe ujue kuna mtego unataka kupigwa.

~ Mara nyingi huwa amefulia na anajua ukienda hutakosa kuacha chochote mfukoni.

~ Kubwa zaidi kuwa amakini usiachiwe mimba isiyo yako.

Hata kama umesafiri atakwambia uwahi kurudi au kama hutorudi basi yeye akufate, huku akijua tarehe zinasonga na kwamba huenda kalenda unazomla zikapishana na alizoliwa na mshakaji ndivyo presha inazidi kupanda.

Sasa kama ni mwanamke mpya boya ataanza kujidai kuwa mwanamke kamzimikia, kalagha bahooo!

Wikiendi njema!
Au akutie nuksi ili jambo zuri lisitokee
 
Hamna jema, tukitulia kama gogo mnasema, tukiwaambia maneno matamu pia mnahisi mtego aah acheni hizo kwani hizo nyege mmeumbiwa nyie tu?😛
Hapa tu kuna mtu kaanza jana nikajifanya nimekausha nampa ratiba za hapa na pale. Leo kanichana anataka nimpe hela. Nikajua ahaa kumbe hicho ndio kilikuwa kinatafutwa na sio nyege tena
 
Back
Top Bottom