Ukiona mpenzi wako anakuharakisha sana akupe utamu ujue ni sababu ya moja ya mambo haya

Si umwambie tu apige nyeto, why ukimbie kimbie [emoji855], mi demu mizinguo sitaki kabisa mazoea naye
 
Wasi wasi wako,Kwani wanawake hawana haki ya kutaka gemu?Mara nyingi wenye hidden agenda huwa wanakuwa slow kidogo ili wewe usishtukie mchezo
Tarehe zinapokuwa zinakimbia mambo buwa tofauti na ulivyowazoea
 
Kuishi kwingi kuona mengi. Siku hizi ukiona mwanamke wako anakuharakisha na kukutamanisha sana kwa maneno matamu eti ana nyege sana au ana hamu sana na wewe ujue kuna mtego unataka kupigwa.

~ Mara nyingi huwa amefulia na anajua ukienda hutakosa kuacha chochote mfukoni.

~ Kubwa zaidi kuwa makini usiachiwe mimba isiyo yako.

Hata kama umesafiri atakwambia uwahi kurudi au kama hutorudi basi yeye akufate, huku akijua tarehe zinasonga na kwamba huenda kalenda unazomla zikapishana na alizoliwa na mshakaji ndivyo presha inazidi kupanda.

Sasa kama ni mwanamke mpya boya ataanza kujidai kuwa mwanamke kamzimikia, kalagha bahooo!

Wikiendi njema!
Mkuu, hii umeitolea moyoni hii.
 
Copy that General
 
Nimemaliza kusoma tu huu uzi SMS inaingia "Baby mwenzako natamani dudu kijicho" Asante General kwa mafunzo yako
 
Back
Top Bottom