Ukiona mpenzi wako anakuharakisha sana akupe utamu ujue ni sababu ya moja ya mambo haya

Ukiona mpenzi wako anakuharakisha sana akupe utamu ujue ni sababu ya moja ya mambo haya

Au ameona unaweza kuhudumia,Akusogeze karibu ufumuliwe limbwata,me iliwai kunitokea farasi wangu kichwani wakanistua usiende kule utakwisha.kesho yake nikamwambia acha kunishikia dawa utaumia akajichekesha chekesha tu na biashara ikaishia apo
Hahahaaaaa eti farasi wako kichwani..
 
Yalitaka kunikuta serious mwaka huu tu mwanzoni taa nyekundu kwenye kichwa changu ikawaka toka lini Debo ana upendo wa dhati hivi mpaka kuniambia maneno mazuri mazuri hivi kulko awali hakua hivi tulkua tunaishi kwa kulazimishana sana! Hivi navoandika sai hapa ana mtoto wa jamaa huko kajifungua miezi kadhaa nikaja kujua nikamwambia kumbe ulkua unanpigia mahesabu tu unibebeshe mzigo usio wangu,.. alivyojitetea sasa ni vichekesho acha tu niishie hapa.
Watu wengi wamebebeshwa watoto sio wao kqa mtindo huu. Ukitanguliza nyege badala ya Akili imekuka kwako.

Jamaa wana target tarehe vizuri ukija kuzalisha unaona tarehe zinaendana kumbe alikuita baafa ya mshikaji mwingine kukojolea sema mshikaji unakuta haziivi vizuri au hana fyucha kivile.
 
Mtu akitaka k kwa haraka anamagonjwa ya azinaa au muathirika au anataka kukushikishia kifo kuwa ulimuua
 
Watu wengi wamebebeshwa watoto sio wao kqa mtindo huu. Ukitanguliza nyege badala ya Akili imekuka kwako.

Jamaa wana target tarehe vizuri ukija kuzalisha unaona tarehe zinaendana kumbe alikuita baafa ya mshikaji mwingine kukojolea sema mshikaji unakuta haziivi vizuri au hana fyucha kivile.
Hii ndiyo inataka kunitokea sasa.........

Kama mwezi mmoja hivi umepita nilimlapatua mtoto mmoja hivi blak beauty ana tako kubwa sio sana linavutia haswa..... kwa wapenda vimodo mbinuko nadhani mtanielewa vyema sana.

Ana miaka 18 (hii aliniambia baada ya kumla) na nilimla kiulaini sana nilimkuta maeneo ya starehe mida mibovu kidogo ila hakanywi pombe kenyewe ni juice tu, na wala hatufahamiani.

nikavutiwa nako nikaongea nako kakaniachia namba na kesho yake usiku kakalala kwangu nikakamua asubuhi kakaondoka. Na hatukukutana tena zaidi ya kuongea kwenye simu

Jumaamosi hii iliyopita akanipigia eti kuna kitu anataka kuniambia na alikuwa anaogopa kuniambia siku zote.. nikamwambia ehe bibie tiririka.....

Bibie akaanza kutiririka kuwa baada ya kukutana siku ile zikapita kama siku nne hivi akaanza kujisikia tofauti kwenda kucheki hispitali wakampima na mimba akakutwa nayo na hii mimba eti ni yangu kichwa kukajiswitch kwenye Airplane mode gafla kisha mtandao ukarudi fresh.

Nikamwambia njoo nikakupige ultra sound akakubali na tukaenda. Mimi kichwani lengo nipime mimba inamuda gani maana tarehe ya siku niliyomla naijua na mpaka kufikia leo hii ni wiki nne kasoro hivyo akipiga ultrasound nitajua kama ni yangu ama la.

Majibu yanatoka namuuliza dokta mimba ina muda gani anasema hii mimba bado ni changa hivyo haiwezi kusoma umri akashauri turudi baada ya mwezi mmoja kuanzia leo.

Sasa dokta kasema hii mimba bado ni changa haiwezi kusoma umri kwenye ultra sound inamaana mimba ya wiki nne kasoro ni changa kiasi cha kutokusoma umri kwenye ultra sound ama hapa ndiyo naenda hivyo kupigwa ndoige msebenzo?
 
Ni

Kweli mimba chini ya miezi minne haisomi umri kwenye Utrasound. Ila umeshapigwa Mtu kaenda zake Club au Bar kutegesha wewe ukanasa kisa mbinuko.

Ikiwa hata mwezi haujapita tangu mmekulana then akakwambia ana mimba my friend ujue na kufahamu ya kuwa umepigwa.

Demu wa miaka 18 tayari anakesha kwenye mastarehe wewe ukadhani umepata
 
Yalitaka kunikuta serious mwaka huu tu mwanzoni taa nyekundu kwenye kichwa changu ikawaka toka lini Debo ana upendo wa dhati hivi mpaka kuniambia maneno mazuri mazuri hivi kulko awali hakua hivi tulkua tunaishi kwa kulazimishana sana! Hivi navoandika sai hapa ana mtoto wa jamaa huko kajifungua miezi kadhaa nikaja kujua nikamwambia kumbe ulkua unanpigia mahesabu tu unibebeshe mzigo usio wangu,.. alivyojitetea sasa ni vichekesho acha tu niishie hapa.
wanawake ni katili sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuishi kwingi kuona mengi. Siku hizi ukiona mwanamke wako anakuharakisha na kukutamanisha sana kwa maneno matamu eti ana nyege sana au ana hamu sana na wewe ujue kuna mtego unataka kupigwa.

~ Mara nyingi huwa amefulia na anajua ukienda hutakosa kuacha chochote mfukoni.

~ Kubwa zaidi kuwa makini usiachiwe mimba isiyo yako.

Hata kama umesafiri atakwambia uwahi kurudi au kama hutorudi basi yeye akufate, huku akijua tarehe zinasonga na kwamba huenda kalenda unazomla zikapishana na alizoliwa na mshakaji ndivyo presha inazidi kupanda.

Sasa kama ni mwanamke mpya boya ataanza kujidai kuwa mwanamke kamzimikia, kalagha bahooo!

Wikiendi njema!
Kuna mmoja alitaka kunibambikia mimba sasa nilichomfanya nikampakia mkongo og sikukojoa
 
Back
Top Bottom